Mkuu unaongelea Zitto yupi? Huyu Zitto kabwe?Zitto ni mmoja wa wanasiasa wachache hapa nchini wa daraja la kwanza kwa msimamo, uongozi, ufahamu wa uchumi na anaeweza kutambua na kutoa utatuzi sahihi wa changamoto zinazo kabili taifa.
Hana kukurupuka, amekomaa, ametulia kisiasa.
Anyway mimi sina chama kwa hiyo simpugii mtu debe ila natoa maoni.
Wewe utafia kwenye nini? Mwenzako ni Mwenyekiti wewe sijui kama hata mchana umekulaMbowe yeye mpaka afie kwenye uenyekiti
Mbona kama unampiga dongo MbowePamoja na usnitch wake wote, iwapo Zito ataheshimu time limit kwenye cheo chake, nitampa heshima fulani. Ni kinyaa kwa kiongozi kukaa madarakani kwa muda mrefu.
πππππ
Anatamani kuendelea ila anaogopa kuweka precedent mbaya
Waswahili kwa kupenda Vyeo!!
Kwako ustaadh Aboubakar Ufipa st
Wanachama wenyewe ni wangapi, mbona wengi wanaonekana ni wanafunzi wa shule?
Simpigi dongo lolote, Mimi msimamo wangu uko wazi kuwa Mbowe hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm kwa sasa. Na hasa hasa Mimi sio muuminiz wa kiongozi yoyote kukaa madarakani sehemu moja ya kuchaguliwa zaidi ya miaka 10.Mbona kama unampiga dongo Mbowe
Hivyo ni vizingishio, kwani alivyo kua anaomba kazi alikua hajui mfumo wa utawala ulivyoπ€π€ alipewa kazi akashindwa kuifanya hayo unayoleta ni kelele tuuKwa mtu asiyejua mfumo wa utawala wetu hapa nchini ndio anaweza kutoa comments kama hizi zako.
Ulitaka akale wapi?Hivyo ni vizingishio, kwani alivyo kua anaomba kazi alikua hajui mfumo wa utawala ulivyoπ€π€ alipewa kazi akashindwa kuifanya hayo unayoleta ni kelele tuu
Kijembe kwa mtu"Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja baadaye na siwezi semea vyama vingine kwasababu kila chama kina katiba yake"
Kwa hiyo Mbowe anatia kinyaa hapo Chadema ?Pamoja na usnitch wake wote, iwapo Zito ataheshimu time limit kwenye cheo chake, nitampa heshima fulani. Ni kinyaa kwa kiongozi kukaa madarakani kwa muda mrefu.
Ubarikiwe sana Zito Kabwe hiyo ndiyo demokrasia."Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja baadaye na siwezi semea vyama vingine kwasababu kila chama kina katiba yake"
'Kuhusu kugombea hata kama ningekuwa bado ni kiongozi wa chama ningegombea tu ubunge na ningerudi tu bungeni na ningeendelea tu kuwa kiongozi wa chama, na nitagombea ubunge hilo halina mjadala Mungu atupe uhai hivyo suala la kurejea sio mjadala wa uongozi'
Muache si anaona anaweza acha akajichanganya kupiga madeal mtaani,Sasa kwani lazima atutangazie? We Zito we usichezee shilingi chooni, huku uraiani kugumu balaa.
Mkuu unauliza au unapigia jibu mstari?Kwa hiyo Mbowe anatia kinyaa hapo Chadema ?
Uko sahihi 100%Zitto ni mmoja wa wanasiasa wachache hapa nchini wa daraja la kwanza kwa msimamo, uongozi, ufahamu wa uchumi na anaeweza kutambua na kutoa utatuzi sahihi wa changamoto zinazo kabili taifa.
Hana kukurupuka, amekomaa, ametulia kisiasa.
Anyway mimi sina chama kwa hiyo simpugii mtu debe ila natoa maoni.