Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

Mimi kama mlipa Kodi ambaye Kodi yangu inatumika kama Ruzuku sidhani kama hapa napata value for money (kwa haya maigizo)..., Ingawa kwa CCM ndio naona pesa yangu inaliwa zaidi...
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anatamani kuendelea ila anaogopa kuweka precedent mbaya

Waswahili kwa kupenda Vyeo!!

Kwako ustaadh Aboubakar Ufipa st
Yupo sahihi, kwani Nani hqpendi maokoto ya ukubwa? Tuache unafiki,anachofanya ni sawa kabisa, fata katiba,ya chama,
 
Najua kweli uko principled zitto. Lakini kwa maana ya ujenzi wa chama na kwa kuwa wanachama wenyewe ndo wanakutaka, nami naungama nao.

Sheria zipo Ili zivunjwe wakati mwingine inapobidi. Na unajua Kuna maendeleo mengine yanakuja kwa kuvunja sheria, kwa maana ya mada niseme kuvunja taratibu Fulani

Usiache chama, bado ni mapema mno.

Natafuta muda nitaongea kwa urefu mahala hapa .
 
Sasa wenyekitutaarifu kutaka kubadili katiba ndio wangetueleza na sio wewe muhusika
 
Hivi wewe ni wa jinsia gani?? Kila kukicha wewe na Mbowe. Iwe mjadala unahusu soka wewe lazima umtaje Mh Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…