Uchaguzi 2020 Zitto: Wananchi mchagueni mgombea mwenye uwezo wa kumshinda Magufuli

Hee kumbe lengo ni kumshinda Magufuli na sio kuwaletea wananchi maendeleo??

Kwa mwananchi mwelewa atampa kura Magufuli aliyecommited na kuwaletea wananchi maendeleo na sio wagombea wanaotaka mashindano binafsi.
Ulikuwa hujui lengo nikumshinda kampomo ndubu lilitupate maendeleo haswa swala lauhuru nimaendeleo makubwa sana
 
Hongera sana Zitto na ACT kwa hekima kubwa.
 
Wamekwepa mitego na vitanzi muhimu vya mbinu chafu cha ccm na tume yake ya uchaguzi
 
Mkuu..Zitto na Mbowe sidhani kama ni wapinzani

Jifikirishe hua wanaweza kusema nini leo na kesho wakaligeuka neno lao lile lile,upinzani hapa nchini haujawahi kuja

Tunafanya siasa kumfariji mzungu ya kwamba tunasuguana,kitu ambacho anapenda maana bila hivyo yamkini akatuletea uasi,hizi zilikua akili kubwa za kina Nyerere,Jomo Kenyata, Patrice Lumumba, Balewa na wengineo..kutengeneza upinzani hewa wa kumlaghai mzungu na mzungu siyo mzuri sana kwetu
 
Mgovi ni magufuli tu! na wabunge wapewe ccm imekua? Sio membe tena wa ACT
 
Zitto mjasiriamali wa kisiasa
 
Sawa zito tumekusikia hatuchagui viongozi wenye tabia za ukabila plus kabulu hatu wezi kuchuga vingozi makabulu eti kwasabu ni weusi ni makabulu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…