Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
He is not super smart, rather he is an opportunist, anajipendekeza kwa CCM akitegemea kupata kitu, ila wakimpiga tena kama alivyopigwa kule Kigoma kwenye chaguzi ndogo ataanza kulia, kumuamini Zitto ni kujipotezea muda.Zitto ni super smart..
Chadema bado hawakui kabisa..
Nilimkubari Zitto kabla hajatoka Chadema, na bado naendelea kumkubali.. Zitto ni mwanasiasa msomi, anayetumia elimu na ubongo wake vizuri Sana.. nitaendelea kukusungwa mkono ZZK maana naona wewe ndiwe first ya upinzani wa kweli, na siasa zisizogawa taifa.. najua Kuna muda mwingine unaumia kutoka a na rafu za CCM, lakini huwa hukimbilii maandamano, huwa unafuata sheria, Kama ni mahakamani utaenda kudai hako yakoKiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema siasa zilizo bora ni siasa za Ushawishi
Hata hivyo amesema wanasiasa wa Taznzania wanapata ugumu wa namna ya kufanya siasa bila kuhasimiana na kugawa watu
Mwenye mawazo tofauti sio adui. Anawaza tofauti na wewe tu.
Chumvi ikiharibika itatiwa nini nini ili kuifanya upya? Haifai kabisa bali huambulia kutupwa na kukanyagwa na watu!!Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema siasa zilizo bora ni siasa za Ushawishi.
Hata hivyo amesema wanasiasa wa Taznzania wanapata ugumu wa namna ya kufanya siasa bila kuhasimiana na kugawa watu.
Mwenye mawazo tofauti sio adui. Anawaza tofauti na wewe tu.
U-super smart wa Zitto ni upi? Zitto angeweza kuwa mwanasiasa mzuri kama siyo ubinafsi. Ana ubinafsi sana na kupenda kujiona ana akili kuliko watu wengine. Huyu hata akipewa nchi ni mtu hatari sana. Halafu katu hataki challenge kutoka sehemu nyingine.Zitto ni super smart.
Chadema bado hawakui kabisa.
Baada ya kufariki kwa JPM ndo wamejua?Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema siasa zilizo bora ni siasa za Ushawishi.
Hata hivyo amesema wanasiasa wa Taznzania wanapata ugumu wa namna ya kufanya siasa bila kuhasimiana na kugawa watu.
Mwenye mawazo tofauti sio adui. Anawaza tofauti na wewe tu.
Zitto ni super smart.
Chadema bado hawakui kabisa.