Ni kwamba mimi sijasoma shule zamani ama, maarifa ya jamii hili bwawa lilitajwa? Embu tukumbushane chiefHili ziwa lilikua maarufu kwenye maarifa ya jamii nilipomaliza sijawahi kulisikia tena mpaka leo hapa
Bado niko smart mkuu. Sisi ni old school. Ila kuna vijana wapuuzi ambao wameiharibu JF ile tuliyoizoea.Wazanzibari mnajistukia sana. Mbona nyakati zile miaka ile ulionekana mtu smart sana upstairs kaka?
Mtu ambaye hajakusoma vizuri hawez kuelewa kama umeandika sarcasm
Pole meku, shda ilikuwa nn 🤔Mwaka Jana kuna ndugu yangu walimuua huko Kenya wakamtupia ziwa Chala
Magugu halina ila samaki ni wachache,Hivi kwenye ziwa Chala nako shughuli za uvuvi zinafanyika? Je nalo lina Magugu?
Lilitajwa mkuu. Haswa maarifa ya jamii ya la tatuNi kwamba mimi sijasoma shule zamani ama, maarifa ya jamii hili bwawa lilitajwa? Embu tukumbushane chief
AiseeLilitajwa mkuu. Haswa maarifa ya jamii ya la tatu
Walidhulumiana, huko kwenye madili yao haramuPole meku, shda ilikuwa nn 🤔
Aseeeh hiyo kitu bado ipo kumbe...... Ilikuwa Rombo zamani na wakenyaWalidhulumiana, huko kwenye madili yao haramu
Ndio kama sio wanawinda wanyam basi ni mbaoAseeeh hiyo kitu bado ipo kumbe...... Ilikuwa Rombo zamani na wakenya
Uko sahihi mkuuHili ziwa lilikua maarufu kwenye maarifa ya jamii nilipomaliza sijawahi kulisikia tena mpaka leo hapa