Ziwa Nyasa limeporwa kikamilifu?

Mpaka uko katikaki.. Tanzania haijawahi kuwa na aibu kulitumia hili Ziwa.. hata tukiamua kuchimba Mafuta hakuna wakutuzia.

Refer to China Sea na akina Ufilipino
 
Kama hili lina ukweli ni jambo lisilokubalika na kuvumilika. Ni dharau kubwa. Ikiwezekana wachapwe tuu.
 
Serikali ina la kujibu haraka kwa hili hawa Malawi wanatudharau sana, sisi hawa tuna uwezo wa kuwaweka chini ya ulinzi for years, hata mm nimecheki Google, kweli Malawi kwenye ramani wamechukua ziwa lote la Nyasa. Hii haikubaliki milele, tuna uwezo wa kuichukua ziwa zima na kuichukia Malawi yote, kwa mkupuo. Serikali lazima iwe aggressive ASAP.
 
Hao maaskari wanaolindaga mipaka walikuwa wapi hadi wamalawi wahamishe mipaka?

Ina maana hamna wanajeshi kabisa kwenye hilo ziwa!? Kama ni hivyo, basi hatuko salama!
PoliCCM wanaoning’niza JWTZ kama popo na kuwaminya makende waende kuwateka Malawi sasa tuone😄
 
Kazi ndogo sana hii kwa PoliCCM watawaonyesha Malawi cha mtema kuni. Malawi wajifunze kwa JWTZ walivyopotezwa na kupoteana.
 
Malawi waongeze na kipande cha ardhi , wahuni kina Mwigilu wakitwambia tuhame nchi ,tupate pakwenda.
Nchi inaongozwa na wapumbavu hii , imekua ni kama haina mwenyewe. BLADIFEKENI.
Wananchi tunaambiwa tuhame Nchi.
Wanajeshi wa JWTZ wananing’nizwa kama popo na PoliCCM . MAZAFANTA.
 
Kuwa mzalendo
Tatizo unataka niwe mzalendo wa vugu vugu la kiafrika, uzalendo wangu ni kwa nchi yangu Zanzibar iliotekwa na kukaliwa kimaguvu na Tanganyika.

Kwa ufupi Tanganyika inahitaji kufocus on its resources, kujizonga na complexity ya muungano au kulinda mipaka yake. Tuko busy sana kurekebisha kero, ambazo ukitatuliwa inazaa nyengine ... just waste of resources.

Mambo ya msingi yanawapita kama hayo ya kulinda mipaka ya Tanganyika. Mambo ya muungano ni complex na nadhani hatujafikia level ya kuungana na wazanzibari hatutaki haswa ni kulazimishana tuu!
 
hao ni chadema wamechukua ziwa nyasa, tutapambana nao na tutawatengenezea kesi za kigaidi
 
Inauma lakini inavyoonekana huenda Tanzania hatuna chetu pale! Ni ziwa la wanyasa wa Malawi.
 
Inasemekana ziwa Victoria, Nyasa, Tanganyika na sisi tuliyapora !!
 
Imeshaeleweka, umeona post za vyombo vya ulinzi na usalama zinataka watu wa skills zipi?
Ndugu yangu,Mungu atafanya kitu kwa ajili yetu.
Nimesikitika sana kusoma vile vigezo.Huenda tukawa nchi ya kwanza duniani.Sijawahi sikia jambo la aina hii popote.Only in Tz.
 
kwani malawi hawana haki?
Pumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…