Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepotea mda mrefu...be4 hata ngosha hajajaTippo alikua mcheza dili nahisi upepo wa ngosha umepita nae!
YeahMmmh
umeshakula Xmas ngapi mjiniTippo alikua mcheza dili nahisi upepo wa ngosha umepita nae!
Nina Xmas nyingi kuliko idadi ya pedi alizonunua mama yako!umeshakula Xmas ngapi mjini
Sure..maduka yao hayakuwa kivile sema matangazo kibao redioni yaliwabeba!lakini nahisi hawakuwa wakubwa sana, ni promotion tu ndio iliwafanya waonekane wakubwa, nilikuwa naona maduka yao ya nguo yalikuwa ni ya kawaida sio makubwa kiivyo.
KumbeSure..maduka yao hayakuwa kivile sema matangazo yao kibao redioni yaliwabeba!
Sent using Jamii Forums mobile app