Zizzou Fashion & Zizzou Entertainment walipatwa na nini wadau ?

Zizzou Fashion & Zizzou Entertainment walipatwa na nini wadau ?

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Hawa wakali wa fashion na burudani hawasikiki, imekuwa ghafla nini kiliwapata wadau hapa mjini.

- Waliwahi pia kusimamia mpaka wasanii kama kina Baby boy, Dataz, Blue, Steve

Ajuaye tafadhali
 
lakini nahisi hawakuwa wakubwa sana, ni promotion tu ndio iliwafanya waonekane wakubwa, nilikuwa naona maduka yao ya nguo yalikuwa ni ya kawaida sio makubwa kiivyo.
Kwahiyo hata ROB ONE ni kubwa kuliko wao siyo ?
 
labda kafilisika maana hata maduka yake hayaeleweki siku hizi
 
Back
Top Bottom