John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Heheh dah acha makasiriko. As long yeye kwake inampa faraja ya nafsi kwamba ametoa 1.5 billion ananunua Ferrari sio mbaya ni sawa na huyo Masai akitoa 1.5 laki kununua ndama dume.Thamani kwa macho ya nani ?
Hayo machumachuma kwa macho ya mmasai yanaweza kuwa tu kama mtambo wa kuharibu mazingira na kutoboa mifuko kwa gharama...., ila Ng'ombe aliyeshiba na mnono anaweza kulala kwa tabasamu kubwa na kicheko kwa muda wa mwezi mzima
Hio Bilioni nani kasema Value yake ni kama Ndama Dume ?Heheh dah acha makasiriko. As long yeye kwake inampa faraja ya nafsi kwamba ametoa 1.5 billion ananunua Ferrari sio mbaya ni sawa na huyo Masai akitoa 1.5 laki kununua ndama dume.
Ila havifanani sema bilioni, halafu sema laki 😂 ashieeenalee
Si uongee kiswahili tu....unapanic na magari ya watu kwa nini?Hio Bilioni nani kasema Value yake ni kama Ndama Dume ?
Je ni kweli Value ya Karatasi lililoandikwa Dollar na Sifuri kadhaa linashinda value ya Kiumbe hai kinachoweza kuleta Ndama kadhaa na kutoa maziwa...
What's the Really Value of a Product ?
Mwisho wa siku utagundua Marketing na Promotion na Pia Product Placement (Exclusivity) vinaweza kupelekea an inferior product kuonekana ina value kuliko uhalisia..., ila when push comes to shove kwenye scarcity na sina excess (disposable income) utaona kwamba slice ya mkate na maji inaweza ikawa na value kuliko jiwe linaloitwa (diamond) ?
Huenda tu tatizo la Mmasai ni kwamba hajui marketing...
Unaongea mambo makubwa sana ambayo hayahitaji mjadala wa kishabiki au mtazamo wa njia moja kuyajadili.Utajiumiza kichwa tu na baadhi ya watu humu 🤣Hio Bilioni nani kasema Value yake ni kama Ndama Dume ?
Je ni kweli Value ya Karatasi lililoandikwa Dollar na Sifuri kadhaa linashinda value ya Kiumbe hai kinachoweza kuleta Ndama kadhaa na kutoa maziwa...
What's the Really Value of a Product ?
Mwisho wa siku utagundua Marketing na Promotion na Pia Product Placement (Exclusivity) vinaweza kupelekea an inferior product kuonekana ina value kuliko uhalisia..., ila when push comes to shove kwenye scarcity na sina excess (disposable income) utaona kwamba slice ya mkate na maji inaweza ikawa na value kuliko jiwe linaloitwa (diamond) ?
Huenda tu tatizo la Mmasai ni kwamba hajui marketing...
Sasa Kama hajui value au marketing tumsaidiaje. Ahame tuHio Bilioni nani kasema Value yake ni kama Ndama Dume ?
Je ni kweli Value ya Karatasi lililoandikwa Dollar na Sifuri kadhaa linashinda value ya Kiumbe hai kinachoweza kuleta Ndama kadhaa na kutoa maziwa...
What's the Really Value of a Product ?
Mwisho wa siku utagundua Marketing na Promotion na Pia Product Placement (Exclusivity) vinaweza kupelekea an inferior product kuonekana ina value kuliko uhalisia..., ila when push comes to shove kwenye scarcity na sina excess (disposable income) utaona kwamba slice ya mkate na maji inaweza ikawa na value kuliko jiwe linaloitwa (diamond) ?
Huenda tu tatizo la Mmasai ni kwamba hajui marketing...
Wivu,masononeko, inferiority complex, anxiety na umasikini unakusumbua we Joseph kusheku msukumahutu tu gari sijawahi kutupenda hata bure sichukui cha ajabu tuna bei ya hatari na nusu ...sasa sijui uthamini wake huwa unapimwaje yaani nje ya kutengenezwa na binadamu kwa asilimia 95 sijuiagi sifa nyingine ya hutu tu kitu
Ungelikuwa na hela ya kununua kisha ukaandika hivi ningekuelewa ila kama hiyo hela ya kununua huna na unaandika hivi sijui hata nikuite jina ganihutu tu gari sijawahi kutupenda hata bure sichukui cha ajabu tuna bei ya hatari na nusu ...sasa sijui uthamini wake huwa unapimwaje yaani nje ya kutengenezwa na binadamu kwa asilimia 95 sijuiagi sifa nyingine ya hutu tu kitu
"Brand" ndio inafanya kua na hiyo thamani,hutu tu gari sijawahi kutupenda hata bure sichukui cha ajabu tuna bei ya hatari na nusu ...sasa sijui uthamini wake huwa unapimwaje yaani nje ya kutengenezwa na binadamu kwa asilimia 95 sijuiagi sifa nyingine ya hutu tu kitu
Umeongea point.Hio Bilioni nani kasema Value yake ni kama Ndama Dume ?
Je ni kweli Value ya Karatasi lililoandikwa Dollar na Sifuri kadhaa linashinda value ya Kiumbe hai kinachoweza kuleta Ndama kadhaa na kutoa maziwa...
What's the Really Value of a Product ?
Mwisho wa siku utagundua Marketing na Promotion na Pia Product Placement (Exclusivity) vinaweza kupelekea an inferior product kuonekana ina value kuliko uhalisia..., ila when push comes to shove kwenye scarcity na sina excess (disposable income) utaona kwamba slice ya mkate na maji inaweza ikawa na value kuliko jiwe linaloitwa (diamond) ?
Huenda tu tatizo la Mmasai ni kwamba hajui marketing...
Wivu,masononeko, inferiority complex, anxiety na umasikini unakusumbua we Joseph kusheku msukuma
Mimi hata simwelewii huyu ndugu yako,Yuko busy anaponda Ferrari ya watu eti Bora ng'ombe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] punguza makasiriko kwan wee kaka, mbna unateseka na maisha ya watu lol.
Kitu ambacho huwezi na huna basi uwezi kujua uzuri wake na hutokipenda kamwe na ndio maana watu wachache wenye pesa tu ndo wanamiliki.... Wewe endelea kuipenda passo na ist tuhutu tu gari sijawahi kutupenda hata bure sichukui cha ajabu tuna bei ya hatari na nusu ...sasa sijui uthamini wake huwa unapimwaje yaani nje ya kutengenezwa na binadamu kwa asilimia 95 sijuiagi sifa nyingine ya hutu tu kitu