Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Nadhani ukinisoma tangia mwanzo utabadilisha hii kauli...., Mimi Motto yangu ni to each his/her Own..., Nikimaanisha hata mtu pesa zake akiamua kuzichoma kama kuni ili zimpatie joto ni prerogative yake...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] punguza makasiriko kwan wee kaka, mbna unateseka na maisha ya watu lol.
Ndio maana nikajibu kuanzia mwanzo swali lililoulizwa (wewe ni zawadi gani ya thamani uliyoshawahi kujinunulia) ?, Jibu langu likawa thamani kwa jicho la nani ? Thamani inaweza ikawa subjective...., unadhani mfano hata huyo Zlatan kama alivyokuwa mdogo alijinunulia viatu vya kuchezea mpira ambavyo vilimfanya apende kufanya mazoezi zaidi na kuja kumfanya kuwa Star hadi kuweza kukidhi his needs and wants; kipi kina thamani zaidi hapo ? (Vile Viatu vilivyomfikisha hapa au Hilo gari ambalo huenda Insurance yake kila mwaka linaweka dent kwenye his Bank Account)