Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Yanini kujipinda wakati najua nitakufa na kuwaachia wengineTule kwa urefu wa kamba zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanini kujipinda wakati najua nitakufa na kuwaachia wengineTule kwa urefu wa kamba zetu
Jamaa unamifano ya kimaskini sana... ondoa fikra hasi kichwani, mifano yako sio halisiTatizo unadhani thamani inapimwa kwa bei pekee, au thamani na bei ni kitu kilekile..... Hivi nikiwa nina Almasi zangu mfukoni msituni na mwenye mtego wa kutega Sungura ni kipi chenye thamani hapo ?
Naona kama najirudia rudia ingawa haya maswali yako yote yashajibiwa....
Monetary Value / Prices - inategemea na Marketing...., True Value ya Product inategemea na Usefulness ya Muhusika.... Kitimoto huenda kikawa ni asset kwa mmoja ila kwa mwingine laana....
thamani yake haifikii Scania mbili za Mtanzania Bakhresa, kwa hiyo kawaida nilijua Till kumbe Bill.. Yani Milioni 1200 tu ambazo wananchi wa kawaida wanakopa benk wanajengea maghorofa mjini.Zlatan Ibrahimovic ameonekana mitaa ya Jiji la Milan akiwa kwenye gari lake aina ya Ferrari SF90 Stradale, ambalo thamani yake inatajwa kuwa ni £400,000.
Kiwango hicho cha fedha kwa thamani ya fedha za Tanzania ni zaidi ya Sh bilioni 1.2.
Staa huyo wa AC Milan alijinunulia gari hilo kama zawadi ya kutimiza umri wa miaka 40, Oktoba 3, mwaka jana.
Wewe ni zawadi gani ya thamani umeshawahi kujinunulia?
View attachment 2116094
View attachment 2116095
Unajua kujenga hoja kwenye ujinga ilo ni tatizo... dawa ya kuongeza maisha tena kwani tumejua tukifa tunaenda wapi?Kwahio leo ugundue dawa ya kurefusha maisha ambayo materials zake ni maji na sukari katika vipimo fulani exact; hio dawa yako itakuwa na bei kiasi gani ?
Utaona hapo bei itakuwa kubwa sana (kitu ambacho wewe unahusisha na thamani) lakini hapo hio dawa yako itakuwa haina historia raw materials gharama itakuwa ndogo wala utakuwa haujaifanyia branding..... Kwahio tofauti ni nini ?
Thamani inayotokana na usefulness (itaendelea kubaki vilevile no matter nani anasema nini) Oxygen ni muhimu kwa binadhamu ingawa huinunui..., Bila Jua Dunia itakufa (tunajua thamani ya jua katika Solar System) ila hakuna Tozo yoyote ya kupata faida za jua.... (halipo monitized)
Ligi ya nini ? Ya Bei sawa kutokatana na mahitaji ya wakati husika, au marketing inayoleteleza kitu kinachoitwa perceived value..., Kuna watu wanalipa Mabilioni ya Pesa kushikwa mkono na mganga fulani wakiamini kwamba mkono huo una baraka (lakini ukweli ni kwamba huenda jamaa anawachota akili zao na huo mkono kwa kushikwa na wengi unakupatia magonjwa tu)
Ukiniambia nichague kati ya hayo mawili hata kama sioni faida ya lolote lile tachagua lenye bei (sababu naweza kuuza hio Bugatti nikanunua passo za kutosha na chenji kubaki...., au kama kwangu statu ni ya muhimu tachagua gari ambalo ni wachache wanalo..., ila ukisema unipe nitumie tu na siwezi kuuza ila mimi ndio nafanyia maintenance huenda Bugatti likanitia umasikini, moja gharama za uendeshaji zitakuwa kubwa na huenda kama mimi ni mtu privacy ile attention ikasababisha nisifanye mambo yangu..., hivyo kwangu Bugatti isiwe na thamani
Hana kazi nae..., maana itakuwa ni uchafu kwake..., kama vile Tyson alivyokuwa anafuga Tiger kwa mwingine ni kukaribisha hatari kwenye maisha yake...., Na mmasai kununua hili dude kwake ni useless..., na kwake muhimu zaidi ni kata mbuga za kuweza kukatia mbuga..., Ferrari haiwezi pita hizi zinapopita....Sasa Zlatan ng'ombe wa nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe kutokutupenda huto tuvitu ni masononeko?!!...we utakuwa una siku ya 3 hujala sasa una hasira kali
Kaka umesomea nini maana point nzuri sana hiiHio Bilioni nani kasema Value yake ni kama Ndama Dume ?
Je ni kweli Value ya Karatasi lililoandikwa Dollar na Sifuri kadhaa linashinda value ya Kiumbe hai kinachoweza kuleta Ndama kadhaa na kutoa maziwa...
What's the Really Value of a Product ?
Mwisho wa siku utagundua Marketing na Promotion na Pia Product Placement (Exclusivity) vinaweza kupelekea an inferior product kuonekana ina value kuliko uhalisia..., ila when push comes to shove kwenye scarcity na sina excess (disposable income) utaona kwamba slice ya mkate na maji inaweza ikawa na value kuliko jiwe linaloitwa (diamond) ?
Huenda tu tatizo la Mmasai ni kwamba hajui marketing...
Boxer za 10,000Zlatan Ibrahimovic ameonekana mitaa ya Jiji la Milan akiwa kwenye gari lake aina ya Ferrari SF90 Stradale, ambalo thamani yake inatajwa kuwa ni £400,000.
Kiwango hicho cha fedha kwa thamani ya fedha za Tanzania ni zaidi ya Sh bilioni 1.2.
Staa huyo wa AC Milan alijinunulia gari hilo kama zawadi ya kutimiza umri wa miaka 40, Oktoba 3, mwaka jana.
Wewe ni zawadi gani ya thamani umeshawahi kujinunulia?
View attachment 2116094
View attachment 2116095
Acha kukaza fuvu hiloThamani kwa macho ya nani ?
Hayo machumachuma kwa macho ya mmasai yanaweza kuwa tu kama mtambo wa kuharibu mazingira na kutoboa mifuko kwa gharama...., ila Ng'ombe aliyeshiba na mnono anaweza kulala kwa tabasamu kubwa na kicheko kwa muda wa mwezi mzima
Na hapo nadhani tunafungua pandoras box nyingine ya umasikini ni nini (siongelei ufukara yaani kukosa hadi basic needs bali umasikini) at what point tuna cut off baina ya utajiri na umasikini na je umasikini wa fikra unaendana sawa na umasikini wa kipato (hapo nachukulia umasikini kama ni lack of enough of something according to ones desires).... Nadhani pitia hapa chini sababu watu tumekuwa tukichukulia uhusiano kati ya uzembe / uchapakazi na umasikini / utajiri wronglyJamaa unamifano ya kimaskini sana... ondoa fikra hasi kichwani, mifano yako sio halisi
Mkuu kwanini unahangaika kutafuta maana halisi ya thamani ya hivyo vitu kwa watu wenye pesa? Mifano yako sio mibaya ila kadabra anaweza kuish kimasai, ila masai hawezi kuish kama kadabra. Ina logic nzuri ila sijaona hata sehemu moja ulioongelea cost of production. Simu moja Warren Buffet alisema anaeruhusiwa kusema money is not everything ni yule mwenye nazo kama huna hela hizo kauli zinakuwa hazikufit. Anyways mini binafsi mtu kama wewe naweza nikamshinda logically throws tumeonana physically sababu watu kama wewe wanasema hivyo ila ukikutana nae unakuta Yupo na simu flagship, kavaa Gucci, sasa huwa napenda tuanzie kwenye physical appearance yake lakin hapa hatutakuweza kamwe. Waache kina bill Waish flashy lifestyle wana pesa na waache wamasai wacheze na kinyesi cha ngombe wana ngombe, hata wewe ukiambiwa uchague wapi ni wapi ni dhahiri utachagua upande wa bill, mambo ya kunuka mavi ya mbuzi utawaachia wamasai.Kwahio leo ugundue dawa ya kurefusha maisha ambayo materials zake ni maji na sukari katika vipimo fulani exact; hio dawa yako itakuwa na bei kiasi gani ?
Utaona hapo bei itakuwa kubwa sana (kitu ambacho wewe unahusisha na thamani) lakini hapo hio dawa yako itakuwa haina historia raw materials gharama itakuwa ndogo wala utakuwa haujaifanyia branding..... Kwahio tofauti ni nini ?
Thamani inayotokana na usefulness (itaendelea kubaki vilevile no matter nani anasema nini) Oxygen ni muhimu kwa binadhamu ingawa huinunui..., Bila Jua Dunia itakufa (tunajua thamani ya jua katika Solar System) ila hakuna Tozo yoyote ya kupata faida za jua.... (halipo monitized)
Ligi ya nini ? Ya Bei sawa kutokatana na mahitaji ya wakati husika, au marketing inayoleteleza kitu kinachoitwa perceived value..., Kuna watu wanalipa Mabilioni ya Pesa kushikwa mkono na mganga fulani wakiamini kwamba mkono huo una baraka (lakini ukweli ni kwamba huenda jamaa anawachota akili zao na huo mkono kwa kushikwa na wengi unakupatia magonjwa tu)
Ukiniambia nichague kati ya hayo mawili hata kama sioni faida ya lolote lile tachagua lenye bei (sababu naweza kuuza hio Bugatti nikanunua passo za kutosha na chenji kubaki...., au kama kwangu status ni ya muhimu tachagua gari ambalo ni wachache wanalo..., ila ukisema unipe nitumie tu na siwezi kuuza ila mimi ndio nafanyia maintenance huenda Bugatti likanitia umasikini, moja gharama za uendeshaji zitakuwa kubwa na huenda kama mimi ni mtu private ile attention ikasababisha nisifanye mambo yangu..., hivyo kwangu Bugatti isiwe na thamani
Nadhani hapa naendelea kujirudia rudia ila ukinisoma tangia mwanzo sidhani kama hata ungeleta hii comment; Pesa ni nini ? Pesa haina intrinsic value ;Yaani hio pesa tunasema ni pesa ya value hio sababu kama community / wanadamu tumekubali kwamba hio ndio value.., leo hii ukienda Ukraine au Tanzania vikitokea vita huenda punje mbili za karanga zikawa na value kwa wakati husika kulika karatasi lenye maneno 1 na sifuri nne / au ukiwa kwenye baridi huenda hayo makaratasi yakawa na value ya kuwashia motoMkuu kwanini unahangaika kutafuta maana halisi ya thamani ya hivyo vitu kwa watu wenye pesa?
Kwahio unasema hakuna Mmasai mwenye vitu ambavyo vinaweza vikawekwa kwa thamani ya sasa kama Ibrahimović; Unajua wamasai baadhi wana ardhi kiasi gani na umeangalia porfolio ya Ibra na kuona ana madeni kiasi gani na hizo nyingine amechukua kama lease kiasi gani na huenda hao Ferrari wanampa subsidy kiasi gani ili aweze kuwatangazia product ? Na hapa issue sio fulani ana ngapi za kuweza kununua nini bali ni nani anathamini nini ili aweze kukichukua na akishachukua ni vipi kitasaidia maisha yake ya kila siku..., Ukienda kwa Mmasai huenda ukimpa hili gari kwake atali value kama pesa (yaani tauza hili lichuma linalokula mafuta ili ninunue ng'ombe kiasi kadhaa na kamwe hawezi kuuza ng'ombe ili anunue hili li petrol grabber) na kwakwe it makes sense sababu moja linampa maziwa jingine linakula pesa zake wala haliwezi kukata mbuga kwenye mazingira yake...Mifano yako sio mibaya ila kadabra anaweza kuish kimasai, ila masai hawezi kuish kama kadabra.
Ukiongelea cost of production unadhani ni nani anatumia pesa / muda / rasilimali nyingi..., yule mangi anayeshona kiatu kimoja kwa wiki nzima na kujichoma na sindano na kukusanya ngozi na kuanika juani au Viatu ambavyo vinakuwa mass produced na mashine na kwa kutumia cheap labor ?; Magari siku hizi mengi tangia Ford alipoweka Mass Production kwenye mainstream production yake per unit imepungua sana ila ndio hivyo Ferrari sababu ya Product Placement / Promotion / Brand na Exclusivity wameamua kufanya magari yao kuwa luxurious na kwa wachache (huo ni uamuzi and has nothing to do na cost of production)Ina logic nzuri ila sijaona hata sehemu moja ulioongelea cost of production.
Buffet ana haki ya kusema anachosema lakini mtu anayeongelea pesa kama pesa hajaangalia the complete equation (pesa ni kiwezeshaji) na uzuri wa Pesa sababu ya liquidity ni kwamba ukiwa na elfu moja sio kwamba una elfu moja bali una kitu chochote ambacho kwa wakati huo jamii imekubaliana kwamba kwa elfu moja utakipata...; ila linapokuja suala la not everything kuna vitu hata ukiwa na hizo pesa hauvipati; mfano labda kutokana na kauli zako na tabia zako unaweza ukakosa madada mtaani ingawa wengine bure au kwa pesa theluthi ya na ya kwako wakapata...Simu moja Warren Buffet alisema anaeruhusiwa kusema money is not everything ni yule mwenye nazo kama huna hela hizo kauli zinakuwa hazikufit.
Naam huenda mimi nina kila simu mpya ikitoka.., huenda nikinunua perfume mwingine akinunua ofisini au mtaani ninatupa yangu..., huenda nikisifiwa nimependeza mimi ndio usiku ninalala usingizi wa pono; huenda kwangu mimi wapambe au machawa ndio marafiki zangu..., Au huenda mtu kama Diamond ku-maintan status ndio ataendelea kuuza vitu (sababu akionekana amefulia na mashabiki wanamkimbia)...; LAKINI kuwa kwangu VAIN au Materialistic hakuniondolei kufahamu kwamba watu wapo tofauti na self fulfilment ni tofauti kwa watu tofauti...Anyways mini binafsi mtu kama wewe naweza nikamshinda logically throws tumeonana physically sababu watu kama wewe wanasema hivyo ila ukikutana nae unakuta Yupo na simu flagship, kavaa Gucci, sasa huwa napenda tuanzie kwenye physical appearance yake lakin hapa hatutakuweza kamwe.
Nadhani kusema wamasai wananuka mavi tunakosea..., , mwisho wa siku maisha ya watu ni peace of mind..., Hivi unajua kuna Mfalme Uingereza alikataa Ufalme ili aweze kwenda kuoa mke USA ambaye ilikuwa against sheria za Ufalme ?, Hivi unajua watu kama kina Mama Theresa waliamua kwenda kuishi na masikini sababu kwao self fulfilement ni kusaidia Masikini ?; Hivi unadhani mtu akishapata Pesa ndio safari imekwisha au baada ya hapo anaanza kuwaza ni jinsi gani anaweza ku make change..., Na unadhani furaha ya Ibra ni Ferrari ngapi anazo au huenda ni Records ngapi anaweza kupata ? Umemuongelea Baffet hivi unajua gari analomiliki ?Waache kina bill Waish flashy lifestyle wana pesa na waache wamasai wacheze na kinyesi cha ngombe wana ngombe, hata wewe ukiambiwa uchague wapi ni wapi ni dhahiri utachagua upande wa bill, mambo ya kunuka mavi ya mbuzi utawaachia wamasai.
We jamaa una talent ya ubish na ina backup kabisa sababu you know stuffs. Ila mwanangu usibeze hela mfano Dar ni kali sana kama miundo mbinu yako haijakaa sawa na joto lake ni linaumiza sana...Anyways other things being constant, we gon grind till our last bit mpaka our duffle bags zijae every president that ever died...as long as we are living high we alright...Nadhani hapa naendelea kujirudia rudia ila ukinisoma tangia mwanzo sidhani kama hata ungeleta hii comment; Pesa ni nini ? Pesa haina intrinsic value ;Yaani hio pesa tunasema ni pesa ya value hio sababu kama community / wanadamu tumekubali kwamba hio ndio value.., leo hii ukienda Ukraine au Tanzania vikitokea vita huenda punje mbili za karanga zikawa na value kwa wakati husika kulika karatasi lenye maneno 1 na sifuri nne / au ukiwa kwenye baridi huenda hayo makaratasi yakawa na value ya kuwashia moto
Kwahio unasema hakuna Mmasai mwenye vitu ambavyo vinaweza vikawekwa kwa thamani ya sasa kama Ibrahimović; Unajua wamasai baadhi wana ardhi kiasi gani na umeangalia porfolio ya Ibra na kuona ana madeni kiasi gani na hizo nyingine amechukua kama lease kiasi gani na huenda hao Ferrari wanampa subsidy kiasi gani ili aweze kuwatangazia product ? Na hapa issue sio fulani ana ngapi za kuweza kununua nini bali ni nani anathamini nini ili aweze kukichukua na akishachukua ni vipi kitasaidia maisha yake ya kila siku..., Ukienda kwa Mmasai huenda ukimpa hili gari kwake atali value kama pesa (yaani tauza hili lichuma linalokula mafuta ili ninunue ng'ombe kiasi kadhaa na kamwe hawezi kuuza ng'ombe ili anunue hili li petrol grabber) na kwakwe it makes sense sababu moja linampa maziwa jingine linakula pesa zake wala haliwezi kukata mbuga kwenye mazingira yake...
Ukiongelea cost of production unadhani ni nani anatumia pesa / muda / rasilimali nyingi..., yule mangi anayeshona kiatu kimoja kwa wiki nzima na kujichoma na sindano na kukusanya ngozi na kuanika juani au Viatu ambavyo vinakuwa mass produced na mashine na kwa kutumia cheap labor ?; Magari siku hizi mengi tangia Ford alipoweka Mass Production kwenye mainstream production yake per unit imepungua sana ila ndio hivyo Ferrari sababu ya Product Placement / Promotion / Brand na Exclusivity wameamua kufanya magari yao kuwa luxurious na kwa wachache (huo ni uamuzi and has nothing to do na cost of production)
Buffet ana haki ya kusema anachosema lakini mtu anayeongelea pesa kama pesa hajaangalia the complete equation (pesa ni kiwezeshaji) na uzuri wa Pesa sababu ya liquidity ni kwamba ukiwa na elfu moja sio kwamba una elfu moja bali una kitu chochote ambacho kwa wakati huo jamii imekubaliana kwamba kwa elfu moja utakipata...; ila linapokuja suala la not everything kuna vitu hata ukiwa na hizo pesa hauvipati; mfano labda kutokana na kauli zako na tabia zako unaweza ukakosa madada mtaani ingawa wengine bure au kwa pesa theluthi ya na ya kwako wakapata...
Point yangu ni kwamba maisha / life sio black or white kuna a lot of grey areas...
Naam huenda mimi nina kila simu mpya ikitoka.., huenda nikinunua perfume mwingine akinunua ofisini au mtaani ninatupa yangu..., huenda nikisifiwa nimependeza mimi ndio usiku ninalala usingizi wa pono; huenda kwangu mimi wapambe au machawa ndio marafiki zangu..., Au huenda mtu kama Diamond ku-maintan status ndio ataendelea kuuza vitu (sababu akionekana amefulia na mashabiki wanamkimbia)...; LAKINI kuwa kwangu VAIN au Materialistic hakuniondolei kufahamu kwamba watu wapo tofauti na self fulfilment ni tofauti kwa watu tofauti...
Kwanini Unaishi !
Swali sio kwamba Kwanini watu wanaishi nauliza kwanini wewe Unaishi ? Dhumuni la swali ni kujaribu kueleweshana huenda watu tumesahau kwamba Binadamu tupo tofauti chema kwako ni kibaya kwa mwingine...; Ila mwisho wa siku kila mtu anahitaji Kusudi (Purpose); kitu kinachomsukuma kuamka asubuhi na...www.jamiiforums.com
Nadhani kusema wamasai wananuka mavi tunakosea..., , mwisho wa siku maisha ya watu ni peace of mind..., Hivi unajua kuna Mfalme Uingereza alikataa Ufalme ili aweze kwenda kuoa mke USA ambaye ilikuwa against sheria za Ufalme ?, Hivi unajua watu kama kina Mama Theresa waliamua kwenda kuishi na masikini sababu kwao self fulfilement ni kusaidia Masikini ?; Hivi unadhani mtu akishapata Pesa ndio safari imekwisha au baada ya hapo anaanza kuwaza ni jinsi gani anaweza ku make change..., Na unadhani furaha ya Ibra ni Ferrari ngapi anazo au huenda ni Records ngapi anaweza kupata ? Umemuongelea Baffet hivi unajua gari analomiliki ?
Mkuu siwezi kubeza pesa, sababu pesa ndio kiwezeshi cha mambo mengi sana, hata Mtu anayependa watu wapate chakula (Mfano Mama Theresa) ni rahisi kwake kufungua wallet na kutoa pesa magunia ya chakula yakaja; kwahio hio pesa inaaminiwa na hao wote anayetoa na anayechukua, ingawa thamani hio ni sababu ya Imani ya hao watu (thamani hii inaweza kubadilika) lakini chakula ni chakula hata pesa ikiacha kuaminika watu watakula chakula..., ila ukitaka kupeleka mtoto shule ni rahisi kupeleka pesa kuliko gunia zako za chakula sababu mwalimu huenda hataki chakula wakati huo bali kununua Kanzu... Kwahio when it comes to liquidity Cash is KING... Pia hapo linakuja suala la need / huitaji, sababu mazao hayo yakiwa mengi na yanaoza / expiry date huenda yakaishia kulishia mifugo....We jamaa una talent ya ubish na ina backup kabisa sababu you know stuffs. Ila mwanangu usibeze hela mfano Dar ni kali sana kama miundo mbinu yako haijakaa sawa na joto lake ni linaumiza sana...Anyways other things being constant, we gon grind till our last bit mpaka our duffle bags zijae every president that ever died...as long as we are living high we alright...