kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Baada ya halimashauri na vitongoji kutakiwa waweke wenyewe nguzo na vibao vya majina vya mitaa Yao tayari kumeshazorotesha zoezi Zima za Anuani za makazi. Kwani huko mitaani Kuna shida ya mchwa, mvua, Kuni, wahuni na umaskini. Kama watatumia Mbao/miti kwenye kuweka alama hizi itakuwa kazi ya bure kabisa. Chuma, ciment, mchanga, kokoto, maji na rangi vinahitajika kwenye kazi hii.
La sivyo kila mtaa wakazi waombwe wauze Kuku ili lazima watoe mchango wa kugharamia kusimika kibao Chao Cha Anuani yao ya makazi cha kudumu, kisichopata kitu, kisichoungua, kisichoweza kisogezwa na wahuni, kicholiwa na mchwa na kisichovutika wakati wa mvua.