jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Nipongeze ubunifu huu wa kipekee ambao umefanywa na R.C Makonda.
sasa ni muhimu ukawekwa utaratibu kwa kila Mkoa kufanya jambo hili ikibidi kwa mwaka mara moja.
zoezi hili lipewe jina la "wiki ya Afya kitaifa" ambapo madaktari bingwa nchini watatoa huduma zao bure kwa wananchi .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!