Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pale kuna Umasikini plus huduma DUni za afya, ile ni mtaji, CCM kwanza tambua umasikini ndio mtaji namba 1 kwao. Hawako tiyali kuona umasikini unatoweka nchi hii.Tafsiri ya umati ule wa watu wagonjwa.... Tafsiri yake ni nini?
Ile ni full siasa mkuuWapatie wananchi wote BIMA ya Afya.Imarisha Mifumo wa Huduma za Afya kila Kona.Huna haja ya kuwa na Kampeni maana kila mwananchi atakwenda Kutibiwa Mahali anapotaka Kwa Wakati wake.Hawezi kusubiri apange Mstari Uwanja wa mpira.
Kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba huduma bure za afya hajaanzisha Makonda. Hata Dar huwa zinatangazwa kupitia baadhi ya hospitali, ambazo hufanyika kwa ushirikiano wa madaktari bigwa Watanzania na wale wa kutoka nje.Nipongeze ubunifu huu wa kipekee ambao umefanywa na R.C Makonda.
sasa ni muhimu ukawekwa utaratibu kwa kila Mkoa kufanya jambo hili ikibidi kwa mwaka mara moja.
zoezi hili lipewe jina la "wiki ya Afya kitaifa" ambapo madaktari bingwa nchini watatoa huduma zao bure kwa wananchi .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Weka ushahidi brother ....weka ushahidi kwa idadi ya waliojitokeza.Kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba huduma bure za afya hajaanzisha Makonda. Hata Dar huwa zinatangazwa kupitia baadhi ya hospitali, ambazo hufanyika kwa ushirikiano wa madaktari bigwa Watanzania na wale wa kutoka nje.
Lengo halikuwa kushindana. Bali je Makonda ndiye ameanza kuleta utaratibu wa huduma bure za afya? Na mimi humbly nikasema as far as I remember (kwa kumbukumbu zangu) huduma bure za afya zimekuwa zikitolewa hata Dar. Sasa unaponiambia nilete ushahidi wa wingi wa watu unataka ni'prove' nini au lengo lake ni nini, kwamba wewe uko sahihi na mimi siko sahihi au lengo ni nini?Weka ushahidi brother ....weka ushahidi kwa idadi ya waliojitokeza.
Wenye akili timamu tunamuona ndio mtu pekee anaeweza kuvaa viatu vya Magufuli.U
Huyu jamaa ana nyota.
Usafi kila jumamos ikawa ya kitaifa
Sasa afya tena linaenda kuwa la kitaifa