Tanzania hakuna sekta yoyote ambayo siyo dhaifu. Kila mahali ni mafyongo tupu. Tumejigeuza kuwa nchi ya ajabu sana: hakuna hata kitu kimoja tunachofanya kwa ufanisi!Structure yote ya afya ipo hoi bin taabani.Anachokifanya Makonda ni kuonyesha udhaifu wa sekta nzima ya afya.
Wote waliokwenda kupata huduma ni masikini wa kutupwa.Tafsiri ya umati ule wa watu wagonjwa.... Tafsiri yake ni nini?
Zoezi la kucheza na akili za Wapumbavu wa hili Taifa, Badala ya kusema Huduma za Afya ziimarishwe mnakuja na hoja za kijinga jinga hizi, nini sababu ya hilo zoezi?Nipongeze ubunifu huu wa kipekee ambao umefanywa na R.C Makonda.
sasa ni muhimu ukawekwa utaratibu kwa kila Mkoa kufanya jambo hili ikibidi kwa mwaka mara moja.
zoezi hili lipewe jina la "wiki ya Afya kitaifa" ambapo madaktari bingwa nchini watatoa huduma zao bure kwa wananchi .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Mmeshindwa kutoa huduma katika taasisi rasmi kama mahospitali, mahakama nk, mmebaki kutaka kutoa huduma za kiki ili kuhadaa wananchi kuelekea uchaguzi. Huu usanii naufananisha na ule msaada wa kisheria wa mama Samia. Kipi kinafanya mshindwe kutoa huduma satahiki kwenye hospitali za serekali, ila muweze kwenye hizo hospitali take away? Acheni hadaa za kipuuzi.Nipongeze ubunifu huu wa kipekee ambao umefanywa na R.C Makonda.
sasa ni muhimu ukawekwa utaratibu kwa kila Mkoa kufanya jambo hili ikibidi kwa mwaka mara moja.
zoezi hili lipewe jina la "wiki ya Afya kitaifa" ambapo madaktari bingwa nchini watatoa huduma zao bure kwa wananchi .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Nyota gani? Hii nchi imejaaa Mazezeta kweli kweli,tuna shida sana, Sikiliza wewe mjinga, Umasikini na Huduma Duni za Afya ndio sababu. na CCM hawako tiyali kuona umasikini unaondoka make ndio mtaji wao huo, ni lazima umasikini uwepo ili wawe wanawafanyia hadaa kama hizi.U
Huyu jamaa ana nyota.
Usafi kila jumamos ikawa ya kitaifa
Sasa afya tena linaenda kuwa la kitaifa
Upumbavu unakusumbuaMakonda mmoja ni sawa na Chadema wote
Ni kweli maana hakuna mwanacdm anajihusisha na magenge ya watu wasiojulikana.Makonda mmoja ni sawa na Chadema wote
Usafi jambo zuri sana tena vizuri tuanzie chini kabisa kama mitaa na madiwani au viongozi wao, iwe ya kujitolea isiwe lazima, miti na maua ipandwe, mitaro michafu na barabara isafishwe etc tujenge culture ya usafiU
Huyu jamaa ana nyota.
Usafi kila jumamos ikawa ya kitaifa
Sasa afya tena linaenda kuwa la kitaifa
Kiongozi mpumbavu kwa wapumbavu wenzake ni lazima asifiwe.Makonda hufikiria sana wanachi tofauti na viongozi wengi ambapo muda wao mwingi hufikiri namna za wao wapi Rais kajisahau wapige pesa!
Mkuu pale ni sehemu ya kucheza na akili za Wajinga, CCM wanapenda saba masikini, na hawako tiyali kuona umasikini unaisha make umasikini ukitoweka hizi swaga hazitakuwepo.Wote waliokwenda kupata huduma ni masikini wa kutupwa.
Mifumo yetu ya afya haina habari na masikini.
Bima ya afya kwa wote ni muhimu na lazima.
Sura zuri na akili unayo , unaitwa manka?Tafsiri ya umati ule wa watu wagonjwa.... Tafsiri yake ni nini?