Zoezi la Huduma za Afya aliloanzisha Makonda liwekewe utaratibu kwa kila mkoa

Wapatie wananchi wote BIMA ya Afya.Imarisha Mifumo wa Huduma za Afya kila Kona.Huna haja ya kuwa na Kampeni maana kila mwananchi atakwenda Kutibiwa Mahali anapotaka Kwa Wakati wake.Hawezi kusubiri apange Mstari Uwanja wa mpira.
 
Tafsiri ya umati ule wa watu wagonjwa.... Tafsiri yake ni nini?
pale kuna Umasikini plus huduma DUni za afya, ile ni mtaji, CCM kwanza tambua umasikini ndio mtaji namba 1 kwao. Hawako tiyali kuona umasikini unatoweka nchi hii.

Yaani Idea ya kuimarisha huduma za afya haipo sasa wameona wabuni idea ya kampeni za siasa,
 
Wapatie wananchi wote BIMA ya Afya.Imarisha Mifumo wa Huduma za Afya kila Kona.Huna haja ya kuwa na Kampeni maana kila mwananchi atakwenda Kutibiwa Mahali anapotaka Kwa Wakati wake.Hawezi kusubiri apange Mstari Uwanja wa mpira.
Ile ni full siasa mkuu
 
Kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba huduma bure za afya hajaanzisha Makonda. Hata Dar huwa zinatangazwa kupitia baadhi ya hospitali, ambazo hufanyika kwa ushirikiano wa madaktari bigwa Watanzania na wale wa kutoka nje.
 
Reactions: I M

Weka ushahidi brother ....weka ushahidi kwa idadi ya waliojitokeza.
 
Weka ushahidi brother ....weka ushahidi kwa idadi ya waliojitokeza.
Lengo halikuwa kushindana. Bali je Makonda ndiye ameanza kuleta utaratibu wa huduma bure za afya? Na mimi humbly nikasema as far as I remember (kwa kumbukumbu zangu) huduma bure za afya zimekuwa zikitolewa hata Dar. Sasa unaponiambia nilete ushahidi wa wingi wa watu unataka ni'prove' nini au lengo lake ni nini, kwamba wewe uko sahihi na mimi siko sahihi au lengo ni nini?
 
U
Huyu jamaa ana nyota.

Usafi kila jumamos ikawa ya kitaifa

Sasa afya tena linaenda kuwa la kitaifa
Wenye akili timamu tunamuona ndio mtu pekee anaeweza kuvaa viatu vya Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…