Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Kuhusu kuwekewa chip au GPS sio rahisi maana teknolojia ipo ya kubaini mtu aliyewekewa vifaa hivyo. Sema ninachofikiri mimi Israel lengo lake ni kuwapata mateka wake , hivyo akishafanikiwa kuwapata tutasikia amerudi kuitwanga tena Gaza.
Pia kutokana na jinsi waarabu walivyo wasaliti na rahisi kurubuniwa inawezekana tayari deal limefanyika baina ya Israel na baadhi ya mateka wa kipalestina kuwahakikishia maisha mazuri na Mshiko wa maana kama watakubali kuwa mawakala wao. Hao hao mateka wa kipalestina ndio watakaokuwa wanauza ramani na mipango ya wenzao. Asilimia kubwa ya waarabu husalitiana wao wenyewe
Wishes zako.
 
Hamas wameishatuma majina Natenayahu sijui anataka majina gani tena anaumia sana maana moja ya merengo yake ya vita kuwarudisha mateka Israel kwa kuwakomboa sasa anapewa masharti na Hamas.
Netanyahu baada ya kuugua tezi Dume akili inamjia na kumtoka esabu azikai sawa!! TEZI DUME sio mchezo!!!
 
Kichekesho sasa; kaeneo kenyewe ka Gaza ni kadogo tu! Lakini Mayahudi na intelijensia yao maarufu duniani, wameshindwa kutambua walipo hao mateka! Na badala yake waliishia tu kuua wanawake wengi wa Kipalestina na watoto wao; na pia kuharibu majengo.
Wameaibika sana waisrael adi jehova wa tz wamechutama kwa aibu!!!
 
Screenshot_20241117-225554_Chrome.jpg
 
Bado naendelea kujiuliza, hivi hao mateka walikuwa hapo Gaza kweli, maana Israeli kafukua kila mahala, kaharibu mahandaki kila mahala lakini alishindwa kuwapata mateka.

Pamoja na kufukua mahandaki yote ya Gaza, mahospitali, kuua maelfu ya watu bado jamaa wa Hamas wapo Gaza? Maana kitisho bado kipo pamoja na nguvu kubwa iliyotumika.

Kuna haja ya Israeli kujitafakari na kutafuta namna rahisi yakutatua mgogoro wake na Palestina ili waje kuishi kwa amani kama majirani na kama ndugu.
Haya mambo yakuwaza kutumia miguvu ipo siku Israeli ataotewa pigo baya kabisa ambalo litamghalimu.
 
Hamas wameishatuma majina Natenayahu sijui anataka majina gani tena anaumia sana maana moja ya merengo yake ya vita kuwarudisha mateka Israel kwa kuwakomboa sasa anapewa masharti na Hamas.
Mateka wamepatina
Malengo ya vita ya Hamas yalikuwa nini?
 
Kuhusu kuwekewa chip au GPS sio rahisi maana teknolojia ipo ya kubaini mtu aliyewekewa vifaa hivyo. Sema ninachofikiri mimi Israel lengo lake ni kuwapata mateka wake , hivyo akishafanikiwa kuwapata tutasikia amerudi kuitwanga tena Gaza.
Pia kutokana na jinsi waarabu walivyo wasaliti na rahisi kurubuniwa inawezekana tayari deal limefanyika baina ya Israel na baadhi ya mateka wa kipalestina kuwahakikishia maisha mazuri na Mshiko wa maana kama watakubali kuwa mawakala wao. Hao hao mateka wa kipalestina ndio watakaokuwa wanauza ramani na mipango ya wenzao. Asilimia kubwa ya waarabu husalitiana wao wenyewe
Israel kashurutishwa na Trump Hana Mpango wowote
 
Back
Top Bottom