Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Huna hoja arabu koko!
Wewe hoja gani umeiweka hapa zaidi ya kuonyesha machungu unayoyapitia kwenye huu uzi?
Wayahudi ni maadui wa yule Mungu wako ambaye walimkataa na kumtesa pia,
nashangaa unajipendekeza kwao!
 
Wewe hoja gani umeiweka hapa zaidi ya kuonyesha machungu unayoyapitia kwenye huu uzi?
Wayahudi ni maadui wa yule Mungu wako ambaye walimkataa na kumtesa pia,
nashangaa unajipendekeza kwao!
Huna ulijualo nimeshakwambia. Kama cream yote ya magaidi kufyekwa ndio machungu kweli nina machungu. Wasirudie tena kenge hao.
 
Huna ulijualo nimeshakwambia. Kama cream yote ya magaidi kufyekwa ndio machungu kweli nina machungu. Wasirudie tena kenge hao.
Wayahudi wenyewe waliopo Tel Aviv wanausema uongozi wao kwa kushindwa kufikia kile kilichowafanya kuingia vitani ila wewe yahudi mweusi wa Nzega unakata viuno hapa! fuatilia habari za kidunia acha tu kujilaza kwenye sofa hapo kwa shemeji yako,

Hamas wamejaa tele mitaa ya Gaza,labda wamefyekwa kwenye akili yako iliyopo kwenye usingizi wa pono.
 
Baada ya Israel kuwarudisha watu wake Hamas itafutwa kwenye uso wa Dunia.

HII TAARIFA Ritz ITUNZE.

GOD BLESS ISRAEL
Umeota hii ndoto muda sn lkn aijatimia pamoja na kuchangia sasaka kibao lkn wapi waisrael utawaona wakigusa iyo Gaza tn wamekufa apo kama sisimizi uko Israel wazazi wengi sasa wanataka watoto wao wanasema vita imeisha mana mwanzo walikuwa wanasema vijana wapo vita GAZA2

Waisrael nimagaid OG lkn media ya Israel inacheza na madish ya wajinga wajinga inawaona waisrael watu wema!!!
 
Back
Top Bottom