Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Wamshukuru Trump Akbar baada ya Allah kuwatelekeza.
 
Wanaume wanarudi baada ya wiki sita kumalizia kazi hata kama ni Mashoga lakini wameua maelfu ya Amaleki.
Muulize basha wako Nentanyahu wamezika maiti wangapi?

Wewe Yahudi mweusi wa Misungwi hujui lolote zaidi ushabiki mandazi.
 
Wanajeshi wa Israel wanashiriki picha hii kwenye akaunti zao za Instagram, na kuwakumbusha umma wa Israel kwamba sifa ya kurejea kwa mateka wao inakwenda kwa wanajeshi hao waliokufa.

Katika picha, wanaonyeshwa wanajeshi wote wa kampuni moja waliouawa katika moja ya mapigano na muqawama wa Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.

Umma wa Israel sasa umegundua kuwa suluhu pekee la kweli la kurejea kwa wafungwa hao ni makubaliano na makubaliano.
Ikiwa Netanyahu angekubali makubaliano ya kubadilishana tangu mwanzo, askari kwenye picha wangerudi hai na mateka.

View: https://x.com/tamerqdh/status/1881419244274872433?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Muulize basha wako Nentanyahu wamezika maiti wangapi?

Wewe Yahudi mweusi wa Misungwi hujui lolote zaidi ushabiki mandazi.
Trump anaenda kuitambua rasmi West Bank kuwa ni eneo la Israel 😀 waambieni waarabu warudi kwao Saudi Arabia.
 
Trump anaenda kuitambua rasmi West Bank kuwa ni eneo la Israel 😀 waambieni waarabu warudi kwao Saudi Arabia.
Wewe ndiyo unamuona Mungu wapalestina wanamuona mchumba tu😂
 
Back
Top Bottom