Sijaelewa kosa lake, ikiwa Mji wa Moshi hauna udhibiti wa CoronaMpuuzi sana huyu ruban
Ndege hazikodiwi waziri kaeleza kuna shirika la desert locust contro organization Tanzania ni mwanachama makao yake makuu ni ethiopia bt ndege huwa zinakaa kenya, nchi mwanachama akipata tatizo shirika linataarifiwa linatoa ndege, ruban na engenear na malipo yao yote yanafanywa na shirika, serikali inanua mafuta na sumu kazi inaendelea ruban atakuwa na ishu zake nyingineKwanini ameondoka , au aliyepewa hiyo Kazi hajamlipa maana tusikiimbilie kumlaumu ,kunakuwaga na ujanja ujanja mno kwenye hizi tenda hasa kama aliyemkodi analeta ujanja ujanja wa kumlipa ...
Lakini kama kila kitu kilikuwa sawa na bado akaondoka itakuwa na maana alitaka kutuhujumu....huyo hatuna haja ya kulalamika ,tutume watu wakahangaike naye ,
Basi wapeleke habari sahihi kwa wananchi wasilete taharuki, waziri angetakiwa kukichukulia jambo la kawaida ..Ndege hazikodiwi waziri kaeleza kuna shirika la desert locust contro organization Tanzania ni mwanachama makao yake makuu ni ethiopia bt ndege huwa zinakaa kenya, nchi mwanachama akipata tatizo shirika linataarifiwa linatoa ndege, ruban na engenear na malipo yao yote yanafanywa na shirika, serikali inanua mafuta na sumu kazi inaendelea ruban atakuwa na ishu zake nyingine
Ndege haijakodiwa kuna shirika linaitwa DLCO Tanzania ni nchi mwanachama so likitokea tatizo ni jukumu la shirika kutuma hiyo ndege na ruban kuja kufanya kazi wanalipwa na shirika serikari inalipa wataalam wake tuu wanaoshiriki kwenye operationHivi sisi hatunaga ndege hizo
Mbona mara nyingi tz tunapenda
Kukodisha ndege ama helukopta
Kutoka kenya
Ova
Kwani Tanzania hatuna rubani wa kuiongoza ndege hiyo? Au ni ya msaada?Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya.
Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho itatumika ndege ya Shirika la Chakula Duniani FAO.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Mbona waziri kaongea na katoa lawama inakuwaje nchi mwanachama na hadaiwi hela yoyote afanyiwe vile na bashe kaongeza, kama upo maeneo yanayolima mpunga kila mwaka ndege huwa zinakuja kwa ajili wa udhibiti wa kwelea kweleaBasi wapeleke habari sahihi kwa wananchi wasilete taharuki, waziri angetakiwa kukichukulia jambo la kawaida ..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] umefanya nimecheka peke yangu hapa.Kwanini wasitumie tangawizi na malimao kuwa fukuza hao nzige?
Rubani atakuwa haungi mkono juhudi au ni mpinzani. Wametuchelewesha sana hawa kwa miaka 54Rubani ni mpinzani nini?
Mitano zaidi akikataa tumlazimishe! Au nasema uongo ndugu zangu?Rubani atakuwa haungi mkono juhudi au ni mpinzani. Wametuchelewesha sana hawa kwa miaka 54
Kuna kama joint venture flan iliundwa baina ya kenya na Tanzania kukabiliana na hilo janga la nzige wana ndege za pamoja kupiga hizo dawa....sasa rubani alikua raia wa kenya kapiga siku moja kapaki ndege airport karudi zake kenya.Kwani ilikuwaje hata hilo likatokea? Isijekuwa anasema ndege haiwezi kuruka umbali unaotakiwa kwa mafuta iliyonayo ila wale wa si hasi wanamtaka aruke hivyo hivyo.
HujumaSio kwamba atakuwa kaambiwa arejee nyumbani haraka, kutokana na hili janga ka Korona kweli.
Inawezekana atarudi labda atakuwa ameenda kwao kufuatilia mtungi wa oxygen.
Hata kwa bakora, tumlazimishe tu.Mitano zaidi akikataa tumlazimishe! Au nasema uongo ndugu zangu?
Unajua FAO ni kitu gani? Madhara ya kutoenda shule.Uchumi wa kati haujafikiwa ndege kutoka FAO, rubani kutoka Kenya halafu utakuta kuna mtu anasema tuna kila kitu
No kuna kama jointventure au tuseme mradi wa pamoja kukabiliana na janga la ndege inaendeshwa kwa pamoja baina ya Kenya na Tanzania....baada ya kunyunyiza siku moja rubani kapaki ndege karudi kenya bila taarifa wala sababu.Rubani ameweka Mbele Proffesionalism.
Walitaka wafanye wanavyotaka wao ki Siasa.
Hawatamfanya lolote, ngonjera tu
Sijui kwanini hawatumii fisi wa chatoUchumi wa kati haujafikiwa ndege kutoka FAO, rubani kutoka Kenya halafu utakuta kuna mtu anasema tuna kila kitu