Zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige kuendelea kesho Kilimanjaro, rubani aliyetelekeza ndege na kurudi Kenya kufuatiliwa!

Zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige kuendelea kesho Kilimanjaro, rubani aliyetelekeza ndege na kurudi Kenya kufuatiliwa!

Mpuuzi sana huyu ruban
Sijaelewa kosa lake, ikiwa Mji wa Moshi hauna udhibiti wa Corona
Je akilala Nairobi na siku ya leo akaja kuendelea kupulizia kosa lake lipo wapi mpaka kuitwa mpuuzi? Ndege sisi tunazo kwanini tutegemee za wenzetu
 
Kwanini ameondoka , au aliyepewa hiyo Kazi hajamlipa maana tusikiimbilie kumlaumu ,kunakuwaga na ujanja ujanja mno kwenye hizi tenda hasa kama aliyemkodi analeta ujanja ujanja wa kumlipa ...
Lakini kama kila kitu kilikuwa sawa na bado akaondoka itakuwa na maana alitaka kutuhujumu....huyo hatuna haja ya kulalamika ,tutume watu wakahangaike naye ,
Ndege hazikodiwi waziri kaeleza kuna shirika la desert locust contro organization Tanzania ni mwanachama makao yake makuu ni ethiopia bt ndege huwa zinakaa kenya, nchi mwanachama akipata tatizo shirika linataarifiwa linatoa ndege, ruban na engenear na malipo yao yote yanafanywa na shirika, serikali inanua mafuta na sumu kazi inaendelea ruban atakuwa na ishu zake nyingine
 
Si mnajitia hamnazo!.

NOTE; Vaa barakoa nawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko.
 
Ndege hazikodiwi waziri kaeleza kuna shirika la desert locust contro organization Tanzania ni mwanachama makao yake makuu ni ethiopia bt ndege huwa zinakaa kenya, nchi mwanachama akipata tatizo shirika linataarifiwa linatoa ndege, ruban na engenear na malipo yao yote yanafanywa na shirika, serikali inanua mafuta na sumu kazi inaendelea ruban atakuwa na ishu zake nyingine
Basi wapeleke habari sahihi kwa wananchi wasilete taharuki, waziri angetakiwa kukichukulia jambo la kawaida ..
 
Hivi sisi hatunaga ndege hizo
Mbona mara nyingi tz tunapenda
Kukodisha ndege ama helukopta
Kutoka kenya

Ova
Ndege haijakodiwa kuna shirika linaitwa DLCO Tanzania ni nchi mwanachama so likitokea tatizo ni jukumu la shirika kutuma hiyo ndege na ruban kuja kufanya kazi wanalipwa na shirika serikari inalipa wataalam wake tuu wanaoshiriki kwenye operation
 
Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya.

Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho itatumika ndege ya Shirika la Chakula Duniani FAO.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kwani Tanzania hatuna rubani wa kuiongoza ndege hiyo? Au ni ya msaada?
 
Basi wapeleke habari sahihi kwa wananchi wasilete taharuki, waziri angetakiwa kukichukulia jambo la kawaida ..
Mbona waziri kaongea na katoa lawama inakuwaje nchi mwanachama na hadaiwi hela yoyote afanyiwe vile na bashe kaongeza, kama upo maeneo yanayolima mpunga kila mwaka ndege huwa zinakuja kwa ajili wa udhibiti wa kwelea kwelea
 
Kwanini wasitumie tangawizi na malimao kuwa fukuza hao nzige?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] umefanya nimecheka peke yangu hapa.

Kama vipi tufukize mashamba tu ili hao panzi wasepe.
 
Kwani ilikuwaje hata hilo likatokea? Isijekuwa anasema ndege haiwezi kuruka umbali unaotakiwa kwa mafuta iliyonayo ila wale wa si hasi wanamtaka aruke hivyo hivyo.
Kuna kama joint venture flan iliundwa baina ya kenya na Tanzania kukabiliana na hilo janga la nzige wana ndege za pamoja kupiga hizo dawa....sasa rubani alikua raia wa kenya kapiga siku moja kapaki ndege airport karudi zake kenya.
Ni kama Hujuma flani
 
Rubani ameweka Mbele Proffesionalism.
Walitaka wafanye wanavyotaka wao ki Siasa.
Hawatamfanya lolote, ngonjera tu
No kuna kama jointventure au tuseme mradi wa pamoja kukabiliana na janga la ndege inaendeshwa kwa pamoja baina ya Kenya na Tanzania....baada ya kunyunyiza siku moja rubani kapaki ndege karudi kenya bila taarifa wala sababu.
Ni kama Kuna hujuma flan zoezi hili lisifanikiwe
 
Back
Top Bottom