hama , toka kwenye usumbufu huoZoezi la uhakiki wa taarifa bank ya NMB ni kero kwakweli, foleni ni ndefu kila branch, watendaji hawajipanga, inchukua hadi dk 20 kwa mtu mmoja kuhudumiwa na wahudumu kwa kila branch ni mmoja.
Mara waseme mtandao unasumbua kwahyo mshine inachelewa.
Nimezunguka NMB branch zote Dodoma, msururu wa foleni ni mrefu, uwe umekula umeshiba n uwe n nguvu za kusimama ili kusibiri foleni yako ifike.
Wajipange upya na waongeze muda wa zoezi.
Tatizo la wabongo ni deadline 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwasubiri siku ziishe ndio mwende kuhuisha taarifa zenu.Zoezi la uhakiki wa taarifa bank ya NMB ni kero kwakweli, foleni ni ndefu kila branch, watendaji hawajipanga, inchukua hadi dk 20 kwa mtu mmoja kuhudumiwa na wahudumu kwa kila branch ni mmoja.
Mara waseme mtandao unasumbua kwahyo mshine inachelewa.
Nimezunguka NMB branch zote Dodoma, msururu wa foleni ni mrefu, uwe umekula umeshiba n uwe n nguvu za kusimama ili kusibiri foleni yako ifike.
Wajipange upya na waongeze muda wa zoezi.
Nimeenda Jumapili iliyopita sio ya juzi Mlimani City, nikakuta watu kibao. Nikakutana na rafiki yangu aliyekuwa anajisajiri kuwa mteja mpya ili apitishie msahahara uko ila akawa amekaa masaa manne kupata kadi wakati benki jirani KCB alitumia chini ya dakika 10.Tatizo la wabongo ni deadline 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwasubiri siku ziishe ndio mwende kuhuisha taarifa zenu.
Sio kweli mimi nilienda mapema kabisa tarehe za mwanzoTatizo la wabongo ni deadline 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwasubiri siku ziishe ndio mwende kuhuisha taarifa zenu.
Mwisho ni lini?Tatizo la wabongo ni deadline 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwasubiri siku ziishe ndio mwende kuhuisha taarifa zenu.