Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kwamba hawakubali kupokea namba ya NIDA hadi uwe na kitambulisho chenyewe kabisa?Mwezi uliopita nilidhamilia 100%nihakiki,kwa unynyekevu nikasogea tawini,panga foleni nafika tu naambiwa NIDA mtandao unasumbua,zoezi likaishia hapo,naeudi nyumbani niko kwenye harakati nyingine nikaangusha kitambulisho cha NIDA,na hawataki namba wanataka kitambulisho kabisa.
Kwa sababu shida ni yao,nasubiri wafunge hiyo acc nihamishe bank ya kupokelea mshahara maana naona tunasumbuana tu.