Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Kila "shortcut" ina gharama yake. Jambo kama si lako, si lako tu.
HII NI HATUA NZURI, ILA ITAKUWA NZURI ZAIDI KAMA WALIOWEZESHA UOZO HUO NAO WAKAFUATIA MAANA KUTOFANYA KAZI KWA KUFUATA MAADILI YA KAZI NI SAWA NA KUWA NA VYETI FEKI. VINGINEVYO NI SAWA NA KUUA MCHWA HUKU MALIKIA ANAENDELEA KUTAMBA.
kAZI HII NJEMA NA NZURI IINGIE KWA NDANI ZAIDI YA HAPO.
Wewe ndio una matatizo sijataja dini ya aina yoyote pole sana kwa fikra zako mgando nimesema dini dini zipo nyingi siyo ukristo Na uislam tuUtakuwa na matatizo ya ubongo hii timuatimua itawaathiri sana wakristo maana ndo wamejaa kwenye taasisi za serikali kwa kisingizio kwamba wao ni wasomi sana.
Kwamba waliosababisha matatizo haya yote wahahakikishiwa 'kulindwa' alafu sisi huku kwenye keyboards zetu tunajidanganya matatizo yataisha!HII NI HATUA NZURI, ILA ITAKUWA NZURI ZAIDI KAMA WALIOWEZESHA UOZO HUO NAO WAKAFUATIA MAANA KUTOFANYA KAZI KWA KUFUATA MAADILI YA KAZI NI SAWA NA KUWA NA VYETI FEKI. VINGINEVYO NI SAWA NA KUUA MCHWA HUKU MALIKIA ANAENDELEA KUTAMBA.
kAZI HII NJEMA NA NZURI IINGIE KWA NDANI ZAIDI YA HAPO.
Ulipe kwani ulikuwa unafanya kazi bure?Na mimi sijui nitapitiwa duuh halafu nasikia unaburuzwa mahakamani urudishe pesa za magufuli ulizolipwa kipindi ukiwa mtumishi feki kama vyeti
Its OK ila isiishie nssf tu iende hata mashirika mengine mbona watakoma watu mtihan huu siyakucheka
Nimelog kutaka kuandika the same thing nakutana na post yako.Kwamba waliosababisha matatizo haya yote wahahakikishiwa 'kulindwa' alafu sisi huku kwenye keyboards zetu tunajidanganya matatizo yataisha!