Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Wakuu salama!...
Kwanza nianze kwa kupongeza NSSF. Wamechukua maamuzi magumu na kuanzia Jumatatu watumishi wao zaidi ya 256 wanapigwa chini kwa kukosa sifa pindi walipojiunga na shirika hilo... Hawana vyeti halisi
Hatua hii ni tafsiri kwamba watoto wa masikini waliosota kusoma UDSM na vyuo vingine sasa wanaenda kupata kazi kihalali. Watoto hawa walisota kwa muda mrefu pasipo msaada wa Godfathers..