Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

Utakuwa na matatizo ya ubongo hii timuatimua itawaathiri sana wakristo maana ndo wamejaa kwenye taasisi za serikali kwa kisingizio kwamba wao ni wasomi sana.
Anatoka mkristo anaingia mkristo, amatoka muisilamu anaingia mkristo. Hatima yake ...
 
Wakuu salama!...

Kwanza nianze kwa kupongeza NSSF. Wamechukua maamuzi magumu na kuanzia Jumatatu watumishi wao zaidi ya 256 wanapigwa chini kwa kukosa sifa pindi walipojiunga na shirika hilo... Hawana vyeti halisi

Hatua hii ni tafsiri kwamba watoto wa masikini waliosota kusoma UDSM na vyuo vingine sasa wanaenda kupata kazi kihalali. Watoto hawa walisota kwa muda mrefu pasipo msaada wa Godfathers..
WaDAU WA NSSF POLENI [emoji482]
 
msako wa vyeti unatija sema nashangaa mbona masharti ya kuwa mbunge ni uwe Mtanzania,umemaliza darasa la 7,ujue kusoma na kuandika..inamaana wanaotuongoza ni vihiyo...
 
Wakuu salama!...

Kwanza nianze kwa kupongeza NSSF. Wamechukua maamuzi magumu na kuanzia Jumatatu watumishi wao zaidi ya 256 wanapigwa chini kwa kukosa sifa pindi walipojiunga na shirika hilo... Hawana vyeti halisi

Hatua hii ni tafsiri kwamba watoto wa masikini waliosota kusoma UDSM na vyuo vingine sasa wanaenda kupata kazi kihalali. Watoto hawa walisota kwa muda mrefu pasipo msaada wa Godfathers..

Ni hatua nzuri. Hili zoezi lisiishie NSSF pekee. Liwe endelevu katika taasisi zote za Serikali na utaratibu Mzuri uundwe kwa zoezi kama hili kusimamiwa vyema Hata katika taasisi Binafsi.....
 
Kazi ipo pale kuna watoto wa wakubwa waliingia kwa vimemo!! Mkurugenzi w IT ni Mpwa wa Dr Balozi! Utaelewa hapo hapo! Udini ndio usiseme! Kuna chumba rasmi cha kuswalia!! Sijui bado kipo
 
Nimelog kutaka kuandika the same thing nakutana na post yako.

Kwamba utashanga HR manager bado anabaki na kazi yake, hakutakuwa na investigation kujua other factors kama wengine walipachikwa nani wahusika wachukuliwe hatua ikibidi, utakuta hakuna review ya recruitment process ambayo ina hakikisha in the future recruitment and selection is fair on merit and so forth.

The whole thing is based on the simple assumption evidence based za criteria; lakini tatizo la msingi kuhusu system nzima ya HRM kama inafaa huko awagusi matokeo yake those responsible wataachwa na ukute kati yao ata kama wanavyeti halali bado incompetent in their roles na wale walioajiri kwa malipo watabaki.
Hapa sasa ndo pa wanaharakati kuitisha petition ya kuwangá watu kama hao. Sasa hizi kusiwena kuleana. Tanzania ni yetu sote lazima tuijenge kwa ajili ya vizazi vijavyo hata kama waliotutangulia hawakufanya hivyo. Tumegundua tulipokosea sasa turekebishe makosa.
 
sawa watapigwa chini hao je swali la kujiuliza je wataajiri wangapi? tusubiri tuone
 
..nawe pia mmoja wapo?
Pole mkuu kama nimekugusa, lakini kazi za Nssf ni ukarani yeyote mwenye basic education aweza fanya.Vidume wako kwenye mateknolojia na magesi hao ndio tuwajadili tusihangaike na hesabu simple za asilimia kumi ya mshahara.Hesabu za wahazini kule church.
 
Back
Top Bottom