Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

Sheria iwe msumeno kweli, kama alifanya hivyo kweli naye achukuliwe hatua
Chinchilla...
Sasa ikiwa hivyo ndivyo na hili nalo liangaliwe:

''In public Mwalimu Nyerere was a fierce defender of secularism. It is therefore quite disturbing to learn that in private he championed the sectional interests of his own church. In 1970 Nyerere invited to the State House the then Secretary General of the Tanzania Episcopal Conference, Fr. Robert Rweyemamu and the Pope’s Representative to Tanzania Mgr. Giovano Cerrano. Among other things Nyerere told his guests that he was doing every thing in his power to strengthen Catholicism in the country. He also requested them to go and inform the Bishops that he had established a Department of Political Education in TANU (the ruling and only political party at that time), and that he had appointed a Christian Reverend to head that department, not because of his competence as a political analyst, but because of his strong faith as a Christian. His responsibility was to guide and control the political direction of the party. He also informed them that in the Party’s National Executive Committee (NEC) two members were Reverends. He said he believed that was the best way of ensuring that the party got good people(van Bergen, 1981:333-336).''
(Njozi 2002)
 
Lakini kwa nini serikali haielezi ni lini wataanza kukagua vyeti vya askari waliopo kwenye majeshi yetu wakati huko ndiko kuna balaa zaidi kuliko sehemu yoyote?
 
Chinchilla...
Sasa ikiwa hivyo ndivyo na hili nalo liangaliwe:

''In public Mwalimu Nyerere was a fierce defender of secularism. It is therefore quite disturbing to learn that in private he championed the sectional interests of his own church. In 1970 Nyerere invited to the State House the then Secretary General of the Tanzania Episcopal Conference, Fr. Robert Rweyemamu and the Pope’s Representative to Tanzania Mgr. Giovano Cerrano. Among other things Nyerere told his guests that he was doing every thing in his power to strengthen Catholicism in the country. He also requested them to go and inform the Bishops that he had established a Department of Political Education in TANU (the ruling and only political party at that time), and that he had appointed a Christian Reverend to head that department, not because of his competence as a political analyst, but because of his strong faith as a Christian. His responsibility was to guide and control the political direction of the party. He also informed them that in the Party’s National Executive Committee (NEC) two members were Reverends. He said he believed that was the best way of ensuring that the party got good people(van Bergen, 1981:333-336).''
(Njozi 2002)
Mtatizo yapo kweli kwa nchi zetu hizi, mambo ya siasa na utawala wa nchi hayaruhusiwi kuchanganywa kabisa na mambo ya dini
na kiongozi wa nchi akikutana nao anatakiwa akutane nao kwa masuala ya imani yake binafsi tu na sio masuala ya kisiasa na uongozi, mtazamo wangu
 
Wakuu salama!...

Kwanza nianze kwa kupongeza NSSF. Wamechukua maamuzi magumu na kuanzia Jumatatu watumishi wao zaidi ya 256 wanapigwa chini kwa kukosa sifa pindi walipojiunga na shirika hilo... Hawana vyeti halisi

Hatua hii ni tafsiri kwamba watoto wa masikini waliosota kusoma UDSM na vyuo vingine sasa wanaenda kupata kazi kihalali. Watoto hawa walisota kwa muda mrefu pasipo msaada wa Godfathers..

BOT lini?
 
...mwishowe,itaoneshwa jinsi Rais mstaafu Nyerere alivyokuja kuwa kiungo cha kipekee kati ya chama/kanisa na kanisa katoliki. Uhusiano huo unaelezwa kwanza kama msingi wa kuelewa jinsi gani na kwa kiasi viongozi wa kanisa walivoingilia kati maendeleo ya siasa hapa Tanzania.
Kanisa katoliki na siasa ya Tanzania.
 
Kuwa mfanyakazi wa NSSF inahitajika sifa gani ya ziada maana kazi zao ni ukarani mtupu.Vyeti wakague kwa wanasayansi huko ndio kwenye madhara siyo kwa watu wa kuplus na kuminus.
YAANI
sisi wana sayansi ndo tuumie tu
Halafu usidhani ni.jumlisha na toa

Peke yake kuna mambo mengi ndo.maana.hawajaajili daras la saba
 
Nawaza tu:
Kuna mtu ananiambia wakakague na wakaguzi wenyewe kwanza
Jaji...
Kuna kisa cha kuchekesha kidogo.

Kamati moja ya bunge ilikwenda kwenye taasisi moja ya serikali
kuchunguza tuhumu za udini za mkuregenzi Muislam.

Yule mkurugenzi Muislam akawauliza, ''Nyie mmekuja kunihoji mie
kwa tuhuma za udini sasa mbona nyie wote Wakristo watupu kwani
huko Bungeni hakuna Waislam?''
 
Mtatizo yapo kweli kwa nchi zetu hizi, mambo ya siasa na utawala wa nchi hayaruhusiwi kuchanganywa kabisa na mambo ya dini
na kiongozi wa nchi akikutana nao anatakiwa akutane nao kwa masuala ya imani yake binafsi tu na sio masuala ya kisiasa na uongozi, mtazamo wangu
Chinchila...
Waislam hatuna hofu na mambo haya ya udini kwa kuwa hatujapatapo
kumdhulumu au kumbagua mtu kwa ajili ya dini yake.

Nyerere angelikuwa hai yeye angekuwa shahidi yetu.

Kapokelewa na Waislam kalala nyumba zao na kala nao chakula sahani
moja hadi akapata ukubwa wa nchi.

Hakuna aliyembagua kwa Ukatokili wake.

Rafiki zake wapenzi na vijana rika lake walikuwa Abdulwahid na Ally
Sykes
na Dossa Aziz.

Wazee wake walikuwa Mshume Kiyate, Sheikh Suleiman Takadir na
Jumbe Tambaza kuwataja wachache.

Dada zake walikuwa Bi. Hawa biti Maftah, Tatu biti Mzee na Bi. Titi
Mohamed
kwa kuwataja wachache.

Hii ndiyo historia ya Waislam.

Sisi hatuna hofu na uchunguzi wa wanaoleta udini kwani sisi ndiyo waathirika
wakuu.
 
Pole mkuu kama nimekugusa, lakini kazi za Nssf ni ukarani yeyote mwenye basic education aweza fanya.Vidume wako kwenye mateknolojia na magesi hao ndio tuwajadili tusihangaike na hesabu simple za asilimia kumi ya mshahara.Hesabu za wahazini kule church.
..Kwa uzoefu wangu watu wengi wanaojiita wanamahesabu/engeneers ndo masikini wa kutupwa. Badili mtizamo.
 
Back
Top Bottom