Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

Job seeker mnafarijiana sana haya mambo sio mepesi kama mnavyotiririka.
 
Mambo ya uchonganishi yanapo letwa na watu wasomi kama wewe hapo ndipo mnaniachaga njia panda!!!

Hivi Nyerere huyu tu ndiye wa kulahumiwa tu au hata baadhi ya wahumini wenu walichangia sana katika kuwasaliti, kuvunja jumuhia zenu we unafikiri kwa nini walikimbiria kuvunja jumuhiya
mkose umoja iwe rahisi kuwasambaratisha ndicho kilicho tokea - ring leaders waliotumika kufanikisha hilo walikuwa ni akina nani? - Waislaam wenzenu!!!

Narudia kusema ilikuwaje wengi wa mababa na mababu zenu waliwekwa kizuizini ilikuwaje wengine walisalimike kama kweli lenu lilikuwa moja i.e mnaelewana kwa kile ambacho mnakitaka katika Tanganyika uhuru, mnashindwa kuiga mfano wa Jenna aliye kuwa rafiki wa karibu wa Mahatma Ghandi wote walisoma Uingereza katika fani ya sheria lakini lilipo kuja suala ya India kupata uhuru kutoka kwa Waingereza alihakikisha anaweka haki za Waislaam mbele regardless ya urafiki wake na Ghandi, bila shaka Mzee Mshemu ndicho kilikuwa maanani kwake muda wote lakini kwa bahati mbaya baadhi yenu hamkuelewa mkatumiwa kwenye zomea zomea ili mmalize kisiasa na mlifanikiwa sana maana akufa kisiasa tu bali mlisababishia atangulie mbele ya haki kabla ya wakati wake kufika - nilipo soma stori yake nilisikitika sana na kukasirika.

Having said that ndiyo maana nawambieni - msiwe mnamulahumu Nyerere peke yake ambaye alikuwa hajui kusoma hata juzuu moja ya Quran, hapa tulisimuliwa zahama zilizo mkuta mzee wa watu Sheikh Mshume Keite(nimesahau jina lake) huyo ndiye alikuwa mpiganaji wa kweli wa haki za Waislaan na wala hakuwa na mpango wa kuigehuza Tanganyika kuwa a Islamic Republic waloikuwa wanayasema hayo walikuwa wanapotosha watu kimakusudi kwa lengo maalumu, Mzee Mshume aliona mbali kwamba mambo yanavyo kwenda si ajabu waislaam wahachwa nyuma na ni kweli - je mlifanya nini? mkaenda mkajikusanya kwenda nyumbani kwake Kariakoo mkamzomea, mkamkashifu eti anatetea udini - yaani mkatumia mob saikiloje ya TANU Youth league kumdhoofisha mzee wa watu kwa kumsingizia vitu ambavyo hakuwa na mpango navyo kasakamwa wee mpaka akafa kwa ugonjwa wa moyo - mkatumiwa kujimaliza wenyewe alafu mnakuja kulahumu watu baki!!!

Mzee Mshume mambo aliyo kuwa anawaonya Waislaam wenzake vile vile na chama cha TANU ndiyo yamekuja kuwapata baadae - hivi sasa mnafanya juhudi gani hata za kumkumbuka unabii wake? - hakuna!

Narudia kuwakumbusheni kwamba jitathimini wenyewe bila ya kutamfuta mchawi ni nani. Nayasema haya kwa nia njema tu kama kuna watu nimewakwaza samahani.
Bukyanagandi,
Nakuomba ndugu yangu hebu andika tena.
Umesema mengi lakini sijaweza kuelewa.
 
Nakumbuka nilipomaliza University niliandika application za kazi zaidi ya 996 na nikafanyiwa interview ucharwa mara 6 tu na nilishinda zote... Mara nikaambiwa vigezo vimezidi zaidi ya kazi niliyoomba, Bandarini niliambiwa siwezi kufanya kazi na watu ambao hawana elimu nisubirie wanitafutie kitengo kingine..........
Nilianza kuwa na chuki na watu mbalimbali ingawa sikuzionyesha waziwazi...... Baadaye niliamua kutoka nje kutafuta kazi nilifanikiwa kupata kazi mpaka sasa najuta kupoteza muda wangu...... Huku niliko hakuna cha mjomba wala shangazi unapimwa na mtihani written, oral na practical ukishinda hakuna cha umetumwa na nani ni kazi tu .........
 
Bora hao maskini wasioiibia nchi yao kuliko wewe KARANI unayejiita mara mhasibu ooh sijui boharia mara hro badili tabia mahakama ya mafisadi imeundwa kwa ajili yenu
...we fanakazi weee mwisho wa siku mshahara nakulipa Mimi,..ripoti zote unareta kwangu.Hapondipo utaona hesabu si kitu.
 
NI UPUMBAVUU KUFUKUZA WAFANYAKAZI200+ NSSF NA HR MANAGER AKIENDELEA NAKAZI...
 
hahaaa huyu mama ndio afisa rasilimali pale NSSF ambaye alisimamishwa juzi kwa uchunguzi anaitwa Chiku, anatakiwa ahojiwe kisha afungwe ni kwa nini aliajiri vihiyo wengi hivyo??

42n.jpg
[/Q


Anastahili pongezi kwa kuajiri nguvu kazi iliyoleta ufanisi kuliko taasisi yoyote ya umma
 
hahaaa huyu mama ndio afisa rasilimali pale NSSF ambaye alisimamishwa juzi kwa uchunguzi anaitwa Chiku, anatakiwa ahojiwe kisha afungwe ni kwa nini aliajiri vihiyo wengi hivyo??

42n.jpg
Duh ila nssf wenye vilemba kama huyu wengi sana, labda ilikuwa moja ya sifa zilizowapa ajira.
 
Jamani Magufuli tusaidie na sisi ambao kaumri kameenda maana toka nipige GPA ya 4 sikupata ajira serikalini na mkopo sijaanza kulipa miaka mingi 20 yrs.
 
ndivyo wasemavyo watu
Chinchilla,
Msiwaandame Waislam nimeweka hapa ushahidi wa udini ulioanzia
toka enzi za Nyerere mbona mko kimya?

Naweka tena ikiwa haujasomwa:

Imewekwa picha ya Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa NSSF Bi. Chiku Matesa na mwekaji ameandika maneno haya:

''...hahaaa huyu mama ndio afisa rasilimali pale NSSF ambaye alisimamishwa juzi kwa uchunguzi anaitwa Chiku, anatakiwa ahojiwe kisha afungwe ni kwa nini aliajiri vihiyo wengi hivyo??

Mwandishi katoa hukumu hata kesi bado kusikilizwa.
Mimi nikaja na majibu haya:

Kuna watu watakuja kusema ndugu zao wanaonewa kisa dini

Kibo,
Huko kuonewa kwa ajili ya dini si tatizo geni Tanzania wala hakuna Muislam atakaeshangazwa na hili.
Hamza Njozi aliandika haya katika kitabu chake, ''Mwembechai Killings..:''

''This book is about one old skeleton in our national cabinet; the burden of religious discrimination which we have always carried in our hearts but which we have carefully managed to conceal to the rest of the world. President Reagan of the United States once boasted about the global reach of his country by saying: You can run but you cannot hide. But as far as our religious skeleton is concerned, we have managed to fool even the arrogantly boastful America. All the official reports published by the US Department of State from 1994 to 1999 have failed to detect religious discrimination in Tanzania. The focus of this book is on the discrimination which Muslims suffer in their country. This does not mean that no one has suffered in Tanzania except the Muslims. To be sure, in their numerous writings, Issa G. Shivji and Chris Peter Maina have unearthed several sickening skeletons as far as our general record in respecting human rights is concerned. But it is the suffering of Muslims in Tanzania which has rarely been acknowledged even in our own country. Who can imagine, for example, that President Mkapa’s speech quoted above was delivered nine months after his government had ordered policemen to shoot and kill Muslims at Mwembechai? This book is offered as a modest attempt to understand the intricate weave of social and political factors which threaten our national unity.''

http://www.islamtanzania.org/mwembechai/mchai-chap1.pdf
Sheria iwe msumeno kweli, kama alifanya hivyo kweli naye achukuliwe hatua
Chinchilla...
Sasa ikiwa hivyo ndivyo na hili nalo liangaliwe:
''In public Mwalimu Nyerere was a fierce defender of secularism. It is therefore quite disturbing to learn that in private he championed the sectional interests of his own church. In 1970 Nyerere invited to the State House the then Secretary General of the Tanzania Episcopal Conference, Fr. Robert Rweyemamu and the Pope’s Representative to Tanzania Mgr. Giovano Cerrano. Among other things Nyerere told his guests that he was doing every thing in his power to strengthen Catholicism in the country. He also requested them to go and inform the Bishops that he had established a Department of Political Education in TANU (the ruling and only political party at that time), and that he had appointed a Christian Reverend to head that department, not because of his competence as a political analyst, but because of his strong faith as a Christian. His responsibility was to guide and control the political direction of the party. He also informed them that in the Party’s National Executive Committee (NEC) two members were Reverends. He said he believed that was the best way of ensuring that the party got good people(van Bergen, 1981:333-336).''
(Njozi 2002)
Chinchila...
Waislam hatuna hofu na mambo haya ya udini kwa kuwa hatujapatapo
kumdhulumu au kumbagua mtu kwa ajili ya dini yake.
Nyerere angelikuwa hai yeye angekuwa shahidi yetu.
Kapokelewa na Waislam kalala nyumba zao na kala nao chakula sahani
moja hadi akapata ukubwa wa nchi.

Hakuna aliyembagua kwa Ukatokili wake.

Rafiki zake wapenzi na vijana rika lake walikuwa Abdulwahid na Ally
Sykes
na Dossa Aziz.

Wazee wake walikuwa Mshume Kiyate, Sheikh Suleiman Takadir na
Jumbe Tambaza kuwataja wachache.

Dada zake walikuwa Bi. Hawa biti Maftah, Tatu biti Mzee na Bi. Titi
Mohamed
kwa kuwataja wachache.

Hii ndiyo historia ya Waislam.

Sisi hatuna hofu na uchunguzi wa wanaoleta udini kwani sisi ndiyo waathirika
wakuu.
Nawaza tu:

Kuna mtu ananiambia wakakague na wakaguzi wenyewe kwanza

Jaji...

Kuna kisa cha kuchekesha kidogo.

Kamati moja ya bunge ilikwenda kwenye taasisi moja ya serikali
kuchunguza tuhumu za udini za mkuregenzi Muislam.

Yule mkurugenzi Muislam akawauliza, ''Nyie mmekuja kunihoji mie
kwa tuhuma za udini sasa mbona nyie wote Wakristo watupu kwani
huko Bungeni hakuna Waislam?''


Mchungaji.jpg


Chinchilla...
Vipi na huyu anaetoa fedha za shirika la umma kujenga kanisa.
Mimi nahifadhi jina lake na taasisi yake.

Huyu hastahili na yeye kuhojiwa vipi anatoa mamilioni ya shirika
lake kulipa kanisa lake?

Naiomba Majlis ilitazame na hili.
Huu ndiyo uadilifu?

  1. Shirikisha ubongo sometimes..inaelekea hujui hata shirika la uma ni kitu gani
    Superuser,
    Hapana haja ya kunitukana ikiwa nimekosea hilo si shirika
    la umma nifahamishe tu ili nijue na mimi nitakushukuru kwa
    kunielimisha.

    _MGS0592.JPG

    Mtoaji akikabidhi hundi ya shs: 10,000,000.00 kwa kanisa la KKKT.

    ReportEditDelete

    + QuoteReply

  2. M

    Mohamed SaidVerified User ✅
    #124
    33 minutes ago
    Joined: Nov 2, 2008
    Messages: 8,226


    Likes Received: 1,622


    Trophy Points: 280

    Mkuu,unao ushahidi usio na hata tone la Shaka kuwa pesa za hilo shirika ndio anazogawa kujengea makanisa??
Ushahidi wa matumizi ya pesa za shirika(kama unavyodai)kujengea kanisa..
Tuanzie hapo...

Lukesam,
Ikiwa utahitaji mimi nikupe ushahidi wa kimahakama sitoweza labda hili
jambo lende mahakamani.

Ninaloweza kuonyesha hapa ni ushahidi wa yanayoandikwa na wahusika
wenyewe.
Ingia hapa:

BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI 20 UJENZI WA KANISA LA KKKT JIMBO LA HAI | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
...mwishowe,itaoneshwa jinsi Rais mstaafu Nyerere alivyokuja kuwa kiungo cha kipekee kati ya chama/kanisa na kanisa katoliki. Uhusiano huo unaelezwa kwanza kama msingi wa kuelewa jinsi gani na kwa kiasi viongozi wa kanisa walivoingilia kati maendeleo ya siasa hapa Tanzania.

Kanisa katoliki na siasa ya Tanzania.

Babu...
Nataka nikuunge mkono kwa kukuwekea nukuu kutoka kwa Njozi (2002):
''The church was particularly worried by the unity and organisational capacity of Muslims under the East African Muslim Welfare Society (1992:35-37). Because the church said the EAMWS was dangerous in that it would weaken Christianity, it had to be so. Mwalimu Nyerere used his political powers to ban this legitimate organisation, to confiscate all its properties and to impose on the Muslims a puppet organisation, BAKWATA. As its name suggests, the EAMWS was a welfare organisation whose primary objective was to provide education and health services. The intellectual brilliance of Mwalimu Nyerere is well-known, and so is his sense of social justice. But Nyerere was also a sincere Roman Catholic. He could not pick and choose what to follow and what to reject in his faith.''
 
Mkuu hakuna mambo mengi ni ujanjaujanja tu ili watu waibe.Hizi kazi ni za std seven waliojiendeleza kwa zile course zao za NABE na Lower and Higher Standard GA, sijui kama unazikumbuka au kuzifahamu
kama unawaza hivyo hauwezi endelea na mjadala

kwamba kazi za bank
accounts afanye wa lasaba ww utakuwa la nne siyo bure
 
Mchelea Mwana Kulia Ulia Mwenyewe, Asiyesikia La Mkuu... Pia Mashirika Kama NIC, PPF, TANESCO
 
Back
Top Bottom