Umeongea sawa sawa, Jana katika uzi huu huu ama mwengine nimeona kuna watu wamerport magazetini wamepotelewa na vyeti vyao! majina yote si haya yanayoshutumiwa kuajiriwa NSSF, kina Christopher, Christant, Chirtabell , Chritiano na kadhalika.
Mfurahi sana tu lakini watakaumia ni wengi maana huko serikalini wamejaa tele!
Kila la kheri, kama kuna mtu amefoji cheti na atolewe kwa haki, sio vifichwe na waonekana wamefoji au hawana vyeti.
Kuna mameneja rasilimali wati wa baadhi ya Tassisi wana TABIA YA KUFICHA VYETI VYA WATU! kwa ahili halitakubalika kamwe!