Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,455
Sawa kabisa tunaomba majina yao hapa, msije baadae kumgeuka magufuli wenu ،kwa jinsi nnayowajua nyinyi kukiwa na wafanyakazi 10 kati ya waislam 4 na 6 ni nyinyi hapo lazima mtalia udini mlishazoea kwenye 10 nyinyi muwe 8 mpaka 9 sasa mkiona kina Dada wawili wamevaa shungi inakuwa kosa,Ni tetesi zenye ukweli,dau na mates a waliajiri wasioajirika ni wengi sana,dau alipoingia alisema kuna over employment akapunguza na kubaki 800 mwaka 2003,baada ya mkwere kuchukua nchi dau akaanza kuajiri na sasa wako 1400 na 95% ya hizo ajira 600 ni watu wa dini Mona,kuna mkoa mmoja Nssf INA staff 98% waislamu na 99% ni wapya na 25% no std seven!!!!!!!!!!
Nadhani hujaona kwenye matangazo yakupotelewa vyeti vya masomo ni kina nani walioanza kulialia sana,