Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

Yaani hapo mtu unasoma namba zinaisha unaanza kuzisoma tena.....mpaka zinaisha.....aliyetunga huu wimbo nae aliwaza sana.Hongera zake!!!
Ukishasoma zikaisha unarudia kusoma nini tena wakati zishaisha? au zinazaliwa upya?
 
Ndio.maana vijana wa oya oya wengi walikuwa wanamtaka mamvi,kazi ipo!
 
Ukishasoma zikaisha unarudia kusoma nini tena wakati zishaisha? au zinazaliwa upya?
Hapo ni mwendo wa kuzisoma tu hata kama zimeisha,we hujawahi kuwaona watoto wanaojifunza kusoma hasa namba? wanarudia rudia ili ziwakae kichwani!!
 
Wewe ndio una matatizo sijataja dini ya aina yoyote pole sana kwa fikra zako mgando nimesema dini dini zipo nyingi siyo ukristo Na uislam tu
Acha kujidanganya ndani ya nafsi yako unajuwa ulikuwa unamaanisha nini.unafiki si dili dogo
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sikia kwa mwenzako tu!
 
safi sana...hili ifanyike kwenye taasisi zingine zote

Hata kwenye baraza la mawaziri na ikulu
labda wakague vya makatibu wakuu. uwaziri ni cheo cha kisisasa, hakunaga criteria ya vyeti. ili mradi ajue kusoma na kuandika. (kwa mujibu wa katiba)
 
labda wakague vya makatibu wakuu. uwaziri ni cheo cha kisisasa, hakunaga criteria ya vyeti. ili mradi ajue kusoma na kuandika. (kwa mujibu wa katiba)

ukitaka kujua wanasiasa nao wanagushi vyeti... ingia ktk tovuti ya bunge angalia c.v za wabunge.
 
Watoto wa wakubwa na mliokuwa na mahusiano na MAGODFATHER kazi kwenu, anzeni kuishi maisha ya KISHETANI ila angalizo msijinyonge! Kila chenye mwanzo kina mwisho wake, yaliyojificha gizani yamefichuliwa na mwanga. HILI NI FUNDISHO KUBWA SANA! BIG-UP JPM pamoja mimi ni mpinzani.
 
Nadhani wangerudisha na mishahara yote tuliowalipa plus allowance walizofaidika nazo kipindi chote cha ajira hewa!!!
 

Duh, ikienda kwa Ma-DC nako ni shida, namfahamu mmoja huwa anajifanya ana Masters wakati hana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…