Zombe aachiwa huru, Mshirika wake ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Kesi hii iwe funzo kuu kwa viongozi wote wa jeshi la polisi Tanzania , cheo ni dhamana tu , kisitumiwe kukandamiza wanyonge .

Huyu zombe anayedhalilika hapa naye aliteuliwa na wateuzi hawahawa na alipigiwa saluti kama wengine .
 
Pole Sana kwa aliyehukumiwa kunyongwa lakini haya ndiyo matunda ya kufanya kazi kwa kutaka kuwafurahisha baadhi ya watu ambao baadaye mambo yanapokuwa magumu wanakuruka.

Si bora ingekuwa kama unavyosema,, hao waliwaua wale vijana na kuwapora fedha zao za Vito walivyouza,,,,ila Zombe angefungwa nae japo miaka kumi tu,,,maana alikuwa mkuu wa upelelezi,,kwaiyo mchongo mzima alikuwa anaujua itakuwa
 
Pole Sana kwa aliyehukumiwa kunyongwa lakini haya ndiyo matunda ya kufanya kazi kwa kutaka kuwafurahisha baadhi ya watu ambao baadaye mambo yanapokuwa magumu wanakuruka.
Huyu hakuwa akimfurahisha MTU huyu alikuwa anapiga DILI...so hayo ndio malipo yake
 
Sikujuwa kama Jamhuri ilikatia rufaa kesi, ila naomba kujuzwa je washtakiwa walikuwa jela muda wote wakisubiri hii hukumu ya rufaa?


Nadhani walikuwa nje, yawezekana walitumia mwanya huo kuharibu ushahidi pia
 
Kesi ya kihistoria.VIVA JK wa msoga kwa kukataa kufumbia macho maovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…