Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du, Bageni kijana mdogo aliyekuwa anainukia.
Inaelekea waliompa amri wamemruka.
Lakini kwa yale mauaji yaliyotikisa nchi haki lazima itendeke, damu ya wananchi imemlilia Mungu.
Kama walivyokuwa na mawazo wafiwa wakati ule, heri na yeye apate haki yake. Ingekuwa mimi ningemnyonga mara baada ya hukumu bila kuchelewa maana amelichafua jeshi na kuumiza wanadamu wengine bila sababu ya msingi.I cant imagine ni mawazo ya kiasi gani yanapita kwenye kichwa cha SP Bageni muda huu
Sijaelewa,umemaanisha nn mkuuSasa nasikia harufu mbaya, Baba Lowassa kuwa makini, hawa watu wameanza kufufua wafu na kuwahukumu wapendavyo!
Hivi serious ile kesi watu mnacomment kua walipewa amri,hampo serious at allDu, Bageni kijana mdogo aliyekuwa anainukia.
Inaelekea waliompa amri wamemruka.
Lakini kwa yale mauaji yaliyotikisa nchi haki lazima itendeke, damu ya wananchi imemlilia Mungu.
Sijaelewa,umemaanisha nn mkuu
Kwa hili mkuu ntapingana na nyie...kesi zllizokuwa zimeishiwa kiki, zinaanza kupewa kiki ili kuonyesha fulani anafanya kuliko fulani, UNADHANI KWA UANZISHWAJI HUU WA MAHAKAMA ZA .... halafu sheria za mahakama hizo anatunga fulani na fulani wakiwa sehemu fulani, Ni dhahiri tusubiri suprise toka kwa jamaa yetu. Huwa hawachagui pa kupiga wakikosa kiki ya kutusahaulisha majanga kedekede yanayoendelea bongoland chiniya mwamvuli wa DDN (-1)
kesi zllizokuwa zimeishiwa kiki, zinaanza kupewa kiki ili kuonyesha fulani anafanya kuliko fulani, UNADHANI KWA UANZISHWAJI HUU WA MAHAKAMA ZA .... halafu sheria za mahakama hizo anatunga fulani na fulani wakiwa sehemu fulani, Ni dhahiri tusubiri suprise toka kwa jamaa yetu. Huwa hawachagui pa kupiga wakikosa kiki ya kutusahaulisha majanga kedekede yanayoendelea bongoland chiniya mwamvuli wa DDN (-1)
Kwa hili mkuu ntapingana na nyie...
Sometimes siasa zkae kando..
Watu weng hupenda kutolea mfano Usa,embu nambie kesi kule hutumia hta miaka 20 ili zfungwe sembuse io ya kna bageni sijui,time is nothing kwny justice system mkuu...
.
Check hizi Top 10 cold cases solved | Real Crime | Really Channel ...
.
Na hii mkuu ambayo ilpoanza mpka.inaisha,hadi inakatwa rufaa watoto wamezaliwa ,wamekua na wngne wamekufa The murder that became the oldest solved cold case in America | New York Post
I wish Polisi wajifunze kwenye hili.Mwisho wa siku Order kutoka JUU huishia wao kwenda jela au kunyongwa.
Nalaani kesi kuchukua muda mrefu mpaka wafiwa machungu yametutoka...!
Kuna uzi ulipita hapa JF kuhusu jamaa ambaye kazi yake ni kunyonga watu huko magerezani. Sina ujanja wa kuifukua. Jamaa alisema kuna wakati alikuwa ananyonga hata watu nane kwa siku. Hii habari kama allisoma SP MAKENE atakuwa anaivutia hisia za maumivu mida hii.Naomba kujuzwa hivi Kwa tanzania hukumu ya hivi ni kweli utanyongwa?