ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Hivi hyo bageni si alishakufaga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashauri Bageni apewe NAFASI azungumze kabla ya kunyongwa! Pili mahakama ya rufaa imeshindwa kutegua mtego wa polisi kuua na pia kupeleleza kesi wenyewe. Najiuliza ni kwa nini kwa suala hili mahakama haikutaka kupata mpelelezi wa kujitegemea ?
Kosa lake kubwa nafikiri ni kuwa aliweka "reasoning" yake pembeni na kutekeleza amri bila kujiuliza mara mbili mbili,huyu christopher alifanya magumash mengi pale moshi mjini...................
Hajaruka viunzi, alipandishwa cheo.Ndo maana tunaelezwa kuwa akili za kuambiwa changanya na zako...
Hata yule askari aliyemuua mwangosi ni hivyo hivyo, bosi wake aliyemuamrisha karuka viunzi yeye kanaswa....
This is a serious allegation, kama huna uhakika ifute. Ni insult kubwa kwa judiciary. Meaning kwamba haki haikutendtka na aliyehukumiwa kunyongwa ni maonevu.
....You think it is impossible??
HUUYUUMNGESE NILIWAMBIAJAMAA ZAKE AKIPONAA NAJITIA KITANZII..HIINGOMA ZOMBE HATAKAMA ALIPANGA IKONAE KWAMBALI LAKINI MASHAHIDI WALIOPELEKWA BAGEN ASINGEPONAI cant imagine ni mawazo ya kiasi gani yanapita kwenye kichwa cha SP Bageni muda huu
Nendamahakaman bana ulipii hats miaMwenye hukumu atuwekee tafadhali
Nendamahakaman bana ulipii hats mia
HUUYUUMNGESE NILIWAMBIAJAMAA ZAKE AKIPONAA NAJITIA KITANZII..HIINGOMA ZOMBE HATAKAMA ALIPANGA IKONAE KWAMBALI LAKINI MASHAHIDI WALIOPELEKWA BAGEN ASINGEPONA
Nashangaa yupo huru zombe?!!! haaa nadhani hata christopher hanyongwi wala nn nimekulia magumashini najua mambo yanavyoenda upande huo[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] m 7[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Si bora ingekuwa kama unavyosema,, hao waliwaua wale vijana na kuwapora fedha zao za Vito walivyouza,,,,ila Zombe angefungwa nae japo miaka kumi tu,,,maana alikuwa mkuu wa upelelezi,,kwaiyo mchongo mzima alikuwa anaujua itakuwa
Niliusoma huo uzi jamaa alikuwa ni WA miaka ya 80.takwimu halisi za Haki za binadam zinaonyesha kikwete kanyonga mmoja mkapa sijui wawili. Hapo ndo huwa sielewi nini maana ya hi adhabuKuna uzi ulipita hapa JF kuhusu jamaa ambaye kazi yake ni kunyonga watu huko magerezani. Sina ujanja wa kuifukua. Jamaa alisema kuna wakati alikuwa ananyonga hata watu nane kwa siku. Hii habari kama allisoma SP MAKENE atakuwa anaivutia hisia za maumivu mida hii.
Lakini siku hizi mahakama ya rufaa tz sio mwisho wa safari, anaweza funga tela kwa akina Babu Seya huko mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika.
Haya mambo ya wangapi wamenyongwa ni siri kibwa. Hawezi taja idadi ya walionyongwa, kama ulisoma vema jamaa alisema maiti za walionyongwa huwa zinazikwa na magereza kwa siri kubwa, ndugu hawapewi hizo maiti wala taarifa.Niliusoma huo uzi jamaa alikuwa ni WA miaka ya 80.takwimu halisi za Haki za binadam zinaonyesha kikwete kanyonga mmoja mkapa sijui wawili. Hapo ndo huwa sielewi nini maana ya hi adhabu
Kwani we unaonajesasa ukinyongwa unakuwa umejirekebisha au ni funzo kwa waliyobaki!!!!nawaza tu !!
Kwa hiyo kama SP Bageni kakutwa na hatia hao wengine wanakuwaje hawana hatia wakati walikuwa na lengo moja?