Zone of Confession! Njoo utubu dhambi zako, za kwenye Mahusiano

Zone of Confession! Njoo utubu dhambi zako, za kwenye Mahusiano

Naomba msamaha dada Betty popote ulipo,tulikubaliana kwenda kuchakatana na kwa ahadi ya malipo,na nilikulipa kabisa,

Tukiwa ngomani baada ya mshindo wa kwanza ulionekana kuelemewa na mkunyege wangu,ulilalamika sana,huku Mimi mzuka ukiwa unazidi kupanda,nilikupa show ya kibabe ukaamua kunig'ata baada ya uzalendo kukushinda na kuamua kurudisha pesa yote,
Nisamehe na pia uliniachia kovu la meno naomba nitafute ulione ,

Na ile pesa bado nimekutunzia ikitokea tumeonana nitakupa maana nimetambua kuwa sikukutendea haki japo ulinikatisha utamu kwa kunig'ata na kunitia alama
Aisee
 
Wapiga nyeto wanakomenti wapi..?

Okay ngoja nami nitubu..
Khadija samahi nilikudanganya kuwa sijawahi kulala na mwanamke mwengine lkn list yangu ninayoikumbuka ni hi..
Zena
Tatu
Swaumu
Eva
Chau
Khadija 1
Khadija 2
Khadija 3
Chaupele
Edina
Gloria
Neema
Miss ugwadu(jina lake halisi nimelisahau)
Hanifa pamoja na mdogo wake zenifa!
Pili huyu ilitokea tu hata sikumbuki!
Cleopatra huyu ni mjerumani aliniomba tucheze mechi za ugenini nashukuru sikuliangusha taifa.. hivyo hapo ndo nikanogewa na mechi za nchi ya nje hivyo nikaanza kwenda huku..
Laura huyu mmarekani mama!
Xi chi huyu mchina baby!
Maria huyu mfaransa!
Evarlyn huyu sikumbuki alitokea nchi gani!! Nisamehe bure!
Zulfa huyu alitokea uarabuni huko sweetie!
Datar huyu hakutokea mbali ni hapo Somalia tu baby!

Naomba niishie hapo natubu natumai kupata msamaha wako naahidi ikibidi nitatulia baby.
Wanisamehee Sana wanawake 48 wote wa jf niliwala vizuri tu watatu wakiwa marafiki yule mmoja nilie mla mwanza anisamehe Sana Tena Sana Mungu awape maisha marefu Sana na wadumishe ndoa zao
 
Aisee nikianza kutubu hapa nitajaza maboksi mawili ila kwa leo ngonja nitubu kwa mmoja tu Gney natambua unajua kuwa ulinisaliti nilipotambua nilikuacha. Sijutiii kukuacha kwa sababu ilikuwa ndio dawa ya usaliti wako. Ila najutia njia niliyotumia kukuacha haikuwa na ubinadamu hata chembe. Uliamua kunywa sumu Mara 2 ufe lakini Mungu mkubwa ukapona ila ukampelekea mama yako presha kupanda na kulazwa week nzima. Najuta najuta what if I'm ungekufa ? Au mama yako ? Ingekuwa kovu na aibu kwangu daima. Umeolewa lakini unakiri wazi kuwa bado unanipenda bahati mbaya Sana ni kwamba mke wangu amenifanya nikusahau. Napenda kutumia msemo mmoja I will just tell my heart that we have never met before( licha ya kupeana utamu kwa zaidi ya miaka 7)
 
So sad.
Pole kwako na kwa Gney.
 
Back
Top Bottom