Zone of Confession! Njoo utubu dhambi zako, za kwenye Mahusiano

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nimecheka hadi basi khaaah, kwani tusisamehewe, ili hali ni waja wake yeye muumba km viumbe wengine
Mambo vipi?
 
Wanajamii wenzangu!
Ni kweli, Mwanadamu awe Mwanaume au Mwanamke mpaka anakuwa mtu mzima anapitia mambo mengi sana kwenye mahusiano.
Pamoja na kuumizwa kuna wale ambao pia umewaumiza.

Tuhamasishane kuombana msamaha na kusamehe.

Njoo utubu hiyo dhambi uliyoifanya ukiwa kwenye mahusiano, wengine wametoa hadi uhai wa viumbe visivyokuwa na hatia! Confess.

Kudanganya hapo, ndio karibia wengi tumepita hapo. Confess!

Kuwaacha wale waliotujali sana bila sababu za msingi na kuoa wengine, Confess!!

Binafsi nakiri kuwa nimefanya dhambi nyingi sana kwenye mahusiano.
1. Ninaomba msamaha kwa Glory alijua ningemwoa kumbe sikufanya hivyo.

2. Nimemsamehe Vane kwa kuniacha na kwenda kwa mtu mwingine.

3. Mimi na Jo tumeshiriki kutoa mimba alizopata tukiwa chuo mimba zaidi ya 3!! ( sijui ilikuwa inakuwaje) anapata mimba mara kwa mara. Mungu atusamehe.

4. Nilivyoanza kazi, Temeke nilikuwa na mahusiano na DUCE mmoja yeye pia tulitoa mimba 2. Mungu atusamehe.

5. Nisamehe sana Si. Sikuwa na nia mbaya kuachana na wewe kipindi kile, nilikuwa nimetengenezwa na mtu mwingine.

6. Es...sorry you loved me why u were too young. I know! I do u wrong but forgive me.

7. Ro...ulikuja kwangu ukiwa na mambo mengi sana, nisamehe kwa kutokuwa na mpango na wewe.
[emoji1787][emoji23]
 
Wapiga nyeto wanakomenti wapi..?

Okay ngoja nami nitubu..
Khadija samahi nilikudanganya kuwa sijawahi kulala na mwanamke mwengine lkn list yangu ninayoikumbuka ni hi..
Zena
Tatu
Swaumu
Eva
Chau
Khadija 1
Khadija 2
Khadija 3
Chaupele
Edina
Gloria
Neema
Miss ugwadu(jina lake halisi nimelisahau)
Hanifa pamoja na mdogo wake zenifa!
Pili huyu ilitokea tu hata sikumbuki!
Cleopatra huyu ni mjerumani aliniomba tucheze mechi za ugenini nashukuru sikuliangusha taifa.. hivyo hapo ndo nikanogewa na mechi za nchi ya nje hivyo nikaanza kwenda huku..
Laura huyu mmarekani mama!
Xi chi huyu mchina baby!
Maria huyu mfaransa!
Evarlyn huyu sikumbuki alitokea nchi gani!! Nisamehe bure!
Zulfa huyu alitokea uarabuni huko sweetie!
Datar huyu hakutokea mbali ni hapo Somalia tu baby!

Naomba niishie hapo natubu natumai kupata msamaha wako naahidi ikibidi nitatulia baby.
Noma sanaaa.
Gazeti refu
 
Katika mchezo huu na ule ikateleza bakhti mbaya..🙂akawa analalama apo chio penyewee...apo ni pa kutolea upepoo....nikamwambia nimesahau spana na.12🙂kwa hiyo na mimi natubu😜au VP.
 
Umeua sana
 
Leo mara ya mwisho

Leo mara ya mwisho kabsa

Mi sijasema naona tu kunakunguru na sare black and white znawaza vtu vya hovyo.[emoji23][emoji23]
 
Wanajamii wenzangu!
Ni kweli, Mwanadamu awe Mwanaume au Mwanamke mpaka anakuwa mtu mzima anapitia mambo mengi sana kwenye mahusiano.
Pamoja na kuumizwa kuna wale ambao pia umewaumiza.

Tuhamasishane kuombana msamaha na kusamehe.

Njoo utubu hiyo dhambi uliyoifanya ukiwa kwenye mahusiano, wengine wametoa hadi uhai wa viumbe visivyokuwa na hatia! Confess.

Kudanganya hapo, ndio karibia wengi tumepita hapo. Confess!

Kuwaacha wale waliotujali sana bila sababu za msingi na kuoa wengine, Confess!!

Binafsi nakiri kuwa nimefanya dhambi nyingi sana kwenye mahusiano.
1. Ninaomba msamaha kwa Glory alijua ningemwoa kumbe sikufanya hivyo.

2. Nimemsamehe Vane kwa kuniacha na kwenda kwa mtu mwingine.

3. Mimi na Jo tumeshiriki kutoa mimba alizopata tukiwa chuo mimba zaidi ya 3!! ( sijui ilikuwa inakuwaje) anapata mimba mara kwa mara. Mungu atusamehe.

4. Nilivyoanza kazi, Temeke nilikuwa na mahusiano na DUCE mmoja yeye pia tulitoa mimba 2. Mungu atusamehe.

5. Nisamehe sana Si. Sikuwa na nia mbaya kuachana na wewe kipindi kile, nilikuwa nimetengenezwa na mtu mwingine.

6. Es...sorry you loved me why u were too young. I know! I do u wrong but forgive me.

7. Ro...ulikuja kwangu ukiwa na mambo mengi sana, nisamehe kwa kutokuwa na mpango na wewe.
Haya tuendelee sasa
 
Back
Top Bottom