Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi kile? Lini? Hebu nikumbushe?Ya kuumizwa kule. Kipindi kile.
Hongera.
Japo nami ninadhambi ila zakwako ni nyingi munoSawa, nikiri nimefanya dhambi nyingi sana kwenye mahusiano.
1. Ninaomba msamaha kwa Glory alijua ningemwoa kumbe sikufanya hivyo.
2. Nimemsamehe Vane kwa kuniacha na kwenda kwa mtu mwingine.
3. Mimi na Jo tumeshiriki kutoa mimba alizopata tukiwa chuo mimba zaidi ya 3!! ( sijui ilikuwa inakuwaje) anapata mimba mara kwa mara. Mungu atusamehe.
4. Nilivyoanza kazi, Temeke nilikuwa na mahusiano na DUCE mmoja yeye pia tulitoa mimba 2. Mungu atusamehe.
5.
Na hapo umefupisha dah!!Nimefupisha tu mkuu
Sina dhambi mieHizo dhambi zingine...
Ipo sanaah tyuuhUnajidanganya na wala kweli haimo ndani yako.
Ahsante Sana. Ujana una Mambo mengiSo sad.
Pole kwako na kwa Gney.
Baaada ya kusoma uzi wako nimejikuta nalia maana daaah nimeumiza wengi mpaka sio vizuri na nimeumizwa na wachache hasa niliowapenda Mungu anisamehe siku zote [emoji41][emoji41]Wanajamii wenzangu!
Ni kweli, Mwanadamu awe Mwanaume au Mwanamke mpaka anakuwa mtu mzima anapitia mambo mengi sana kwenye mahusiano.
Pamoja na kuumizwa kuna wale ambao pia umewaumiza.
Tuhamasishane kuombana msamaha na kusamehe.
Njoo utubu hiyo dhambi uliyoifanya ukiwa kwenye mahusiano, wengine wametoa hadi uhai wa viumbe visivyokuwa na hatia! Confess.
Kudanganya hapo, ndio karibia wengi tumepita hapo. Confess!
Kuwaacha wale waliotujali sana bila sababu za msingi na kuoa wengine, Confess!!
Binafsi nakiri kuwa nimefanya dhambi nyingi sana kwenye mahusiano.
1. Ninaomba msamaha kwa Glory alijua ningemwoa kumbe sikufanya hivyo.
2. Nimemsamehe Vane kwa kuniacha na kwenda kwa mtu mwingine.
3. Mimi na Jo tumeshiriki kutoa mimba alizopata tukiwa chuo mimba zaidi ya 3!! ( sijui ilikuwa inakuwaje) anapata mimba mara kwa mara. Mungu atusamehe.
4. Nilivyoanza kazi, Temeke nilikuwa na mahusiano na DUCE mmoja yeye pia tulitoa mimba 2. Mungu atusamehe.
5. Nisamehe sana Si. Sikuwa na nia mbaya kuachana na wewe kipindi kile, nilikuwa nimetengenezwa na mtu mwingine.
6. Es...sorry you loved me why u were too young. I know! I do u wrong but forgive me.
7. Ro...ulikuja kwangu ukiwa na mambo mengi sana, nisamehe kwa kutokuwa na mpango na wewe.
Tena nyie ndio hamtakaa msamehewe yaan mmekuja duniani kung'aa macho tu[emoji1787]Tusio wahi hata kuwa kwenye mahusiano, tuna tubu wapi?