Zone of Confession! Njoo utubu dhambi zako, za kwenye Mahusiano

Aisee
 
Wanisamehee Sana wanawake 48 wote wa jf niliwala vizuri tu watatu wakiwa marafiki yule mmoja nilie mla mwanza anisamehe Sana Tena Sana Mungu awape maisha marefu Sana na wadumishe ndoa zao
 
Aisee nikianza kutubu hapa nitajaza maboksi mawili ila kwa leo ngonja nitubu kwa mmoja tu Gney natambua unajua kuwa ulinisaliti nilipotambua nilikuacha. Sijutiii kukuacha kwa sababu ilikuwa ndio dawa ya usaliti wako. Ila najutia njia niliyotumia kukuacha haikuwa na ubinadamu hata chembe. Uliamua kunywa sumu Mara 2 ufe lakini Mungu mkubwa ukapona ila ukampelekea mama yako presha kupanda na kulazwa week nzima. Najuta najuta what if I'm ungekufa ? Au mama yako ? Ingekuwa kovu na aibu kwangu daima. Umeolewa lakini unakiri wazi kuwa bado unanipenda bahati mbaya Sana ni kwamba mke wangu amenifanya nikusahau. Napenda kutumia msemo mmoja I will just tell my heart that we have never met before( licha ya kupeana utamu kwa zaidi ya miaka 7)
 
So sad.
Pole kwako na kwa Gney.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…