TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

Ongezea...
1)bodaboda kavaa ndaraa
2)bodaboda kasuka virasta,kanyoa kiduku huku muda wote kafungulia singeli na amapiano

Ova
 
R.I.P gentleman...
 
Hapo Wazee ungewapigia Simu ya Deal, Gari ingekua na Mafuta.
 
Apo aliyemgonga utakuta alikua amelewa,na saivi yupo bar anakunywa bia,hakuna anayemkumbuka,lawama zote zipo upande wa polis kwa kuchelewa kuhukua mwili,upande wa pili wa chanzo cha ajali kama kuna uzembe mahali,unazimwa kwa kubebeshwa lawma polisi pekee,
Utakuta anayefanya hivyo analengo maalumu anawajua wabongo walivyoo,wakwanza kubebeshwa lawama wanapita naye uyo uyo.
Utaona apo ata mwili ukichukuliwa saa 11 kasoro asubuhi,mtoa mada anaandika saa 4 asubuhi.
 
Boda Boda ni death trap ila hatuwezi zikwepa kiukweli. Daladala na foleni hizi ni kero mno. Yani hazivumiliki kabisa kama una nauli utalipa boda boda tu ikupeleke. Gari binafsi ndio yale yale maana una ganda for hours kwa safari ya dakika 20 tu.
Kwahio mkuu una risk maisha yako kwasababu ya kuchelewa 20-30minutes? Huko uendako unawahi nini muhimu kuliko uhai wako?
Vijana epukeni bodaboda.
 
Nchi ya kipuuzi sana.
 
Huu mwaka haunogi vifo vingi ni ajali kwa vijana wadogo wanaojitafuta na kuelekea kujipata, foleni za dar zinafanya mtu ajitoe kwa kutumia usafiri wa pikipiki mwishowe ni kifo, wapumzike mahali pema
Binafsi pikipiki na bajaj sipandi kama ni lami, yaani hadi nipande bajaj sijui nina haraka gani. Nimeshazoea na huo umekuwa utaratibu wangu.

One day nipo job, nikatumiwa sms na wife kuwa watoto wanaenda sehemu mchana. Nampigia dada yao wako wapi na wanatumia usafiri gani, niliposikia "bajaj" nikamwambia washuke kituo kinachofata wapande daladala...

Sijui kwa nini nina hofu sana na bajaj.
 
Madereva wa boda na bajaji wote akili moja, Mungu atusaidie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…