Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Serikali ikiwakomalia hakuna kinachoshindikana, tatizo siasa nyingiMpaka sasa hivi sheria zipo lakini ndiyo hivyo vijana hawataki kuzifuata!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ikiwakomalia hakuna kinachoshindikana, tatizo siasa nyingiMpaka sasa hivi sheria zipo lakini ndiyo hivyo vijana hawataki kuzifuata!
Akili za kishirikina huwaza ushirikina.AYO acha kuwatoa kafara watoto wa watu
🤔Nafikiri alaaniwe yulee aliyezilaani kwanza kwa kusema ni kazi ya laana.
Kuna muda machozi Yana nilenga nikiwaza hizi ajari now ningekua nimesha sahaulika..Huu mwaka haunogi vifo vingi ni ajali kwa vijana wadogo wanaojitafuta na kuelekea kujipata, foleni za dar zinafanya mtu ajitoe kwa kutumia usafiri wa pikipiki mwishowe ni kifo, wapumzike mahali pema
Pole na hongera sana natamani ndg yangu walau angekuwa anakanyagia km wewe ila ndo hivyo, bodaboda zinamaliza nguvu kazi ya taifaKuna muda machozi Yana nilenga nikiwaza hizi ajari now ningekua nimesha sahaulika..
Still naendelea kurecover naendelea na mazoezi ya kukanyagia mguu
Wangu Mwenyezi Mungu amekua mwema kwangu
Kwa dar es salam ajar za boda boda Ni nyingi mno nenda mahospitalini wahanga Ni wengi..
Ukienda mishe mishe ama ofisin ama point A to B na kurudi salama nyumbani Ni Jambo la kushukuru mwenyezi Mungu
Usipande mkuuHizi siku mbili boda nimepanda mitaa ya kkoo bila kupenda ila risk ndo hizi sasa.. Barabara mbovu na miundombinu inaondoka na roho za watu aisee gari binafsi shida.. usafiri wa umma nao usiseme limebaki kaburi tuu ukipanda ukifika salama unamshukuru Mungu
Alivunjika?Pole na hongera sana natamani ndg yangu walau angekuwa anakanyagia km wewe ila ndo hivyo, bodaboda zinamaliza nguvu kazi ya taifa
Mkuu huku dar es salaam Kuna pilika nyingi boda boda nyingi sanaa magari Ni mengi Sanaa watu pia Ni wengi SanaaaaNimekaa dar miaka 8 ilikua haiwezi kupita siku bodaboda hajagongwa morogoro road kila siku ni vifo vya boda boda ila nilipokuja mikoani mfano jiji la mwanza nimekaa mda sana sinawahi kuona ajali ya boda boda hata siku moja kwanza ile kuovertake kijinga jinga na mispeed ya kipuuzi huku hamna. Boda boda wa huku ni watu wazima, hawa wanyoa viduku sijawaona. Tatizo la dar boda boda wengi ni vijana wadogo walevi, wavuta bangi sijui nisemeje ila hawako makini kabisa barabarani ndio maana kila siku ni ajari tuu za kijinga.
AbiriaNilikuwa nauliza Marehemu alikuwa dereva au abiria?
Mkuu unadhani huku mikoani jam hazipo? Kutoka kimara mpa mail moja kuna jam gani? Kuna sehemu inaua boda boda kama magari saba na kwa yusuph? Boda boda wa dar hawapo makini wengi ni bangi tuu na hawana majukumu.Mkuu huku dar es salaam Kuna pilika nyingi boda boda nyingi sanaa magari Ni mengi Sanaa watu pia Ni wengi Sanaaaa
Hapo mwanza barabara kubwa Ni mbili TU
Sawa wapo vijana walevi Ila ajar hainaga taarifa maana huchukua mpaka wenye taadhari
Mimi nilidhani ajar zinawapataga wengine muda huu nipo nijafunza kutembea Tena Kama mtoto
All in all
Mwenyezi Mungu atupe MWISHO MZURI
Nimekaa dar miaka 8 ilikua haiwezi kupita siku bodaboda hajagongwa morogoro road kila siku ni vifo vya boda boda ila nilipokuja mikoani mfano jiji la mwanza nimekaa mda sana sinawahi kuona ajali ya boda boda hata siku moja kwanza ile kuovertake kijinga jinga na mispeed ya kipuuzi huku hamna. Boda boda wa huku ni watu wazima, hawa wanyoa viduku sijawaona. Tatizo la dar boda boda wengi ni vijana wadogo walevi, wavuta bangi sijui nisemeje ila hawako makini kabisa barabarani ndio maana kila siku ni ajari tuu za kijinga.
Hawa waunganishwe kesi ya Malisa,wanalichafuwa jeshi.Kusema maiti ilikaa mpaka saa nne asubuhi sio kweli coz ingezua taaruki sana
Hawa wanaitwa Maafisa usafirishaji.Kwetu katika Mataifa ya Wapumbavu hawa ni Mtaji wa Wanasiasa Wapumbavu katika Kuwapigia Kampeni na Kura 2025.
Wapi nimelichafua jeshi mkuu?Hawa waunganishwe kesi ya Malisa,wanalichafuwa jeshi.
Daaah inasikitisha kwa kwel😪😪Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari linafikirisha sana..
Jibu walilotoa polisi walisema Gari yao haina MAFUTA ☹️,boda boda ilibidi waustili mwili vizuri ili hali ukiendelea kubakia eneo lile ukinyeshewa na mvua😢, mpaka ilipofika leo mida ya saa 4 asubuhi ndipo askari waliweza kufika eneo la tukio na kuutoa mwili wa marehemu kuupeleka hospitali.
TUKIO LA JANA NI UDHIHIRISHO TOSHA KUWA TUNA ASKARI WASIOKUWA NA WELEDI WOWOTE NA KAZI YAO 😒😠
"""Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani!
Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi tunapiga nae na watu wakibao wakamuamini zaidi, njaa yake ya kutamani kupiga picha kali ikampeleka mpaka kwa Millard na kufanya kazi kupitia Ayotv, Pole sana @millardayo pole kwa familia, ndugu na jamaa 🙏 M/Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏. """Lulyommy
Nimekuquote kimakosa, yule wa pili ataelewa why nimemquote.Wapi nimelichafua jeshi mkuu?
Japo na miaka 7 sijaja home (mza) Ila hapo mwanza hata mataa ya barabarani yapo wapi labda buzuruga E.T.CMkuu unadhani huku mikoani jam hazipo? Kutoka kimara mpa mail moja kuna jam gani? Kuna sehemu inaua boda boda kama magari saba na kwa yusuph? Boda boda wa dar hawapo makini wengi ni bangi tuu na hawana majukumu.
Duh poleni sana[emoji22]Acha imemmaliza mdogo wangu mwezi feb kama kufumba na kufumbua tu alikuwa mchapakazi kweli kweli
Ayo tv ni clouds?Eeh kwanini Clouds imeandamwa sana? Pole kwa wafiwa