Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Kuoa na kuishi vizuri na familia yake kwa kipato halali!Amafanikiwa nini huyo ....tujuzane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuoa na kuishi vizuri na familia yake kwa kipato halali!Amafanikiwa nini huyo ....tujuzane
Mpaka sasa hivi sheria zipo lakini ndiyo hivyo vijana hawataki kuzifuata!Sina la kusema mkuu, maana kuna wanaotegemea kuishi kwa hizo boda hivyo siwezi kuziita takataka labda sheria zikaziwe, usalama uzingatiwe watozwe faini kali huenda ikapunguza tatizo hali ni mbaya boda zinaua sana barabarani
Aisee!Kuna page ya media moja huko insta waliandika Zuchi afariki, nikajua Zuchu. Nilikua nishaanza kutetemeka jinsi navyomkubali sana Zuchu
Watu watumie majina unique kidogo
Hawa madada nao,siku ingine utasikia kapanda na mtoto bodaboda! Mtoto anasimulia jinsi alivyoinjoi bodaboda. SMHBinafsi pikipiki na bajaj sipandi kama ni lami, yaani hadi nipande bajaj sijui nina haraka gani. Nimeshazoea na huo umekuwa utaratibu wangu.
One day nipo job, nikatumiwa sms na wife kuwa watoto wanaenda sehemu mchana. Nampigia dada yao wako wapi na wanatumia usafiri gani, niliposikia "bajaj" nikamwambia washuke kituo kinachofata wapande daladala...
Sijui kwa nini nina hofu sana na bajaj.
Yaani inashangaza. Ukiacha polisi,je watu wengine hakuna kitu wanaweza kufanya?Dah!!
Yaani maiti inakaa kwenye kuanzia saa nane usiku mpaka saa nne asubuhi hakuna ilichofanyiwa kama mzoga wa paka.....??
Ubinadamu upo wapi....utu wetu upo wapi......??
Imeniuma Sana......Yaani inashangaza. Ukiacha polisi,je watu wengine hakuna kitu wanaweza kufanya?
Sidhan km ni kweli... yan mpaka saa nne asubuhi?Dah!!
Yaani maiti inakaa kwenye kuanzia saa nane usiku mpaka saa nne asubuhi hakuna ilichofanyiwa kama mzoga wa paka.....??
Ubinadamu upo wapi....utu wetu upo wapi......??
Uko sahihi mkuu, Uendeshaji wa bajaj hapa mjini, nao unatia mashaka sana coz wanajichomeka chomeka sana, nayo ni hatariBinafsi pikipiki na bajaj sipandi kama ni lami, yaani hadi nipande bajaj sijui nina haraka gani. Nimeshazoea na huo umekuwa utaratibu wangu.
One day nipo job, nikatumiwa sms na wife kuwa watoto wanaenda sehemu mchana. Nampigia dada yao wako wapi na wanatumia usafiri gani, niliposikia "bajaj" nikamwambia washuke kituo kinachofata wapande daladala...
Sijui kwa nini nina hofu sana na bajaj.
Kwa mujibu wa taarifa ya mtoa mada ana sema hivyo.....Sidhan km ni kweli... yan mpaka saa nne asubuhi?
Kusema maiti ilikaa mpaka saa nne asubuhi sio kweli coz ingezua taaruki sanaYaani inashangaza. Ukiacha polisi,je watu wengine hakuna kitu wanaweza kufanya?
Nafikiri alaaniwe yulee aliyezilaani kwanza kwa kusema ni kazi ya laana.Sina la kusema mkuu, maana kuna wanaotegemea kuishi kwa hizo boda hivyo siwezi kuziita takataka labda sheria zikaziwe, usalama uzingatiwe watozwe faini kali huenda ikapunguza tatizo hali ni mbaya boda zinaua sana barabarani
Mama Samia Hadi awatumie hela ya mafuta Kwenye M-pesaAjali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari linafikirisha sana..
Jibu walilotoa polisi walisema Gari yao haina MAFUTA ☹️,boda boda ilibidi waustili mwili vizuri ili hali ukiendelea kubakia eneo lile ukinyeshewa na mvua😢, mpaka ilipofika leo mida ya saa 4 asubuhi ndipo askari waliweza kufika eneo la tukio na kuutoa mwili wa marehemu kuupeleka hospitali.
TUKIO LA JANA NI UDHIHIRISHO TOSHA KUWA TUNA ASKARI WASIOKUWA NA WELEDI WOWOTE NA KAZI YAO 😒😠
"""Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani!
Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi tunapiga nae na watu wakibao wakamuamini zaidi, njaa yake ya kutamani kupiga picha kali ikampeleka mpaka kwa Millard na kufanya kazi kupitia Ayotv, Pole sana @millardayo pole kwa familia, ndugu na jamaa 🙏 M/Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏. """Lulyommy
Clouds na Ayo Tv ni sawa na kusema tu Wodi za Sewahaji na Kibasila zote ni Ndugu moja ndani ya Mwamvuli wa Muhimbili.Clouds au Ayotv ?
Habari hii haijakamilika kabisa.Haijaeleweka vyema.Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari linafikirisha sana..
Jibu walilotoa polisi walisema Gari yao haina MAFUTA ☹️,boda boda ilibidi waustili mwili vizuri ili hali ukiendelea kubakia eneo lile ukinyeshewa na mvua😢, mpaka ilipofika leo mida ya saa 4 asubuhi ndipo askari waliweza kufika eneo la tukio na kuutoa mwili wa marehemu kuupeleka hospitali.
TUKIO LA JANA NI UDHIHIRISHO TOSHA KUWA TUNA ASKARI WASIOKUWA NA WELEDI WOWOTE NA KAZI YAO 😒😠
"""Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani!
Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi tunapiga nae na watu wakibao wakamuamini zaidi, njaa yake ya kutamani kupiga picha kali ikampeleka mpaka kwa Millard na kufanya kazi kupitia Ayotv, Pole sana @millardayo pole kwa familia, ndugu na jamaa 🙏 M/Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏. """Lulyommy
Mtamuelewa tu Lema.Usafiri wa bodaboda ni kama raana hivi..
Kifo chake ni cha kupangwa?Habari hii haijakamilika kabisa.Haijaeleweka vyema.
Anyway, nawapa pole sana wafiwa.
But all in all, natoa tena angalizo kwa Waandishi wa Habari Tz wanatakiwa kuwa makini sana muda wote kuhusiana na maisha yao kwani wengi wao nyoka wapo majumbani mwao na kwenye ofisi zao wanapofanyia kazi.
Hizi siku mbili boda nimepanda mitaa ya kkoo bila kupenda ila risk ndo hizi sasa.. Barabara mbovu na miundombinu inaondoka na roho za watu aisee gari binafsi shida.. usafiri wa umma nao usiseme limebaki kaburi tuu ukipanda ukifika salama unamshukuru MunguBoda Boda ni death trap ila hatuwezi zikwepa kiukweli. Daladala na foleni hizi ni kero mno. Yani hazivumiliki kabisa kama una nauli utalipa boda boda tu ikupeleke. Gari binafsi ndio yale yale maana una ganda for hours kwa safari ya dakika 20 tu.
Kwetu katika Mataifa ya Wapumbavu hawa ni Mtaji wa Wanasiasa Wapumbavu katika Kuwapigia Kampeni na Kura 2025.Pole sana mkuu...
Nchi zilizoendelea zilishapiga marufuku haya matakataka mjini.
Kwanza zinachafua mji, zinaongoza kwa kuleta ajali na kuua vijana.
Asante.Fuatilia mtririko wa hizo comments utaelewa kwanini nimeitikia