TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

Kwahiyo hao polisi kodi zetu wanafanyia nini? Kama hata gari hawaweki mafuta?
 
Sijawahi kusikia mtu kaenda Uwanja wa ndege kachekewa ndege halafu akagongwa.


Diamond alishawahi kupanda boda kisa kachelewa flight na Mo DEWIJ pia
mimi pia ilibidi niamuachie gari dogo pale mataa ya ubungo kipindi hiko hamna fly over.
Nikadaka boda fasta hadi Airport
 
Pole sana mkuu...
Nchi zilizoendelea zilishapiga marufuku haya matakataka mjini.

Kwanza zinachafua mji, zinaongoza kwa kuleta ajali na kuua vijana.
...Hivi Marekani, Uingereza, Ujerumani, Chena, Uholanzi, Dubai na Kwingine Kwa hivyo Kuna Boda Boda ? Mbona India Zimejaa ?...Tatizo ni Maendelea ??....
 
Porojo tu Hizi, In Short hawanaga Akili tu Hawa
 
Watu Wakishapata Pa Kushushia, Malalamiko tena? Nimeona hata Ukurasa Wa Polisi Wametoa Ufanunuzi
 
Ukiona ujinga wa namna hii umekithiri nchini basi juwa tatizo liko juu zaidi na hii yote inaonyesha kuwa tuna utawala mbovu toka Rais mpaka viongozi wa huku chini. Sasa kituo kinakosa kweli gari lililo na mafuta, imetokea dharura kama hii wanashindwa kutokea. Mkuu wa kituo akamatwe au afukuzwe kazi.
 
Kiujumla hatuna wakitulinda sio viongozi wala vyombo vya dola polisi wote ni wapumbavu tu
 
Apumzike kwa amani
Kagongwa na boda, kaanguka na boda, boda alopanda imegongwa na gari,???Ni nini hasa kimetokea??
 
...Hivi Marekani, Uingereza, Ujerumani, Chena, Uholanzi, Dubai na Kwingine Kwa hivyo Kuna Boda Boda ? Mbona India Zimejaa ?...Tatizo ni Maendelea ??....
Bodaboda zipo nchi za kipumbavu tu.
Nb: pikipiki na bodaboda ni tofauti.
 
Angekuwa Magu angeanza na Kamanda wa Kinondoni anashuka nae
 
R.I.P. Kijana

Nani aliamua kwamba amekufa na polisi ndio wamchukue? Kwa khali yoyote si ilibidi apeleke hospitali kwanza au?

Hii issue natumaini Serikali utaangalia na kuelezea iweje, bila Daktari nani mwingine anapaswa kufanya kazi yao?
 
RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ