Zuchu amewaza nini kwenye video ya wimbo wake wa Antenna?

Anarudisha sifakm kwa anayemuabudu, huwez kuwa na akili timam ukafanya vile, like ni agano
 
Huyo kawa illuminati na ni freemason wa 33 degree.. alisikika mtanzania mmoja kule bonyokwa 😅😅😅
 
you guys are taking things seriously!! yan hiki nako ni cha kukijadili? si ni vile king'ang'a ameamua kuja kivingine kaka?? au wenzetu ndio mmefungua third eye mkaona huo ushetani? we nipe vimacho, tikisa vimacho, lazima irudiwe sababu nataka tena!!
😂😂😂😂
 
Haya yote ni matokeo ya ukosefu wa ajira watu hawana issues za kufanya kwa hiyo wanajikita kwenye minor issues,we ukitaka kuamini hili nenda hata pale manzese darajani afu watangazie watu kuwa unataka kujirusha mpaka chini ili ufe,nakwambia hazitazidi dk 4 watu watakuwa wamerundikana kama wako kwenye mkesha wa mwamposa wakisubiri waone jinsi unavyojirusha darajani huku wakichukua video hii ina maana kuwa watu hawana shughuli za kufanya kwa hiyo wanakuwa na muda mwingi wa kuzurura mitaani kwa hiyo wakikutana na tukio lolote wanaona hapo ndipo pa kupotezea muda ili masaa yasogee,the same kwenye mitandao ya kijamii yaani watu wanajadili vitu vya kipuuzi ambavyo ni nonsense kwa sababu hawana kazi za kufanya hivyo wanavuta masaa yasogee kwa kujadili upuuzi
 
Mashabiki wake wengi wakristo? Aisee majitu ya uswahilini ndo utaskia mambo kama haya ya udini akili hamna kbs
 
Muziki na kazi za Sanaa na burudani zote hizo ni kazi za shetani
 
Huwezi kujificha siku zote. Kuna siku mapembe yako yataonekana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…