Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM

Pepo la nyege tu linakusumbua 🀣🀣🀣🀣
Ukishamwaga tui la nazi utagundua wanawake ni wale wale
 
πŸ˜πŸ˜€Sasa mkuu katapata muda wa kupanda majukwaani kwa style hiyo?

Mademu siku hizi hawapendi mahaba niue, wanataka nginja nginja wateseke, wajute, wanywe sumu wanusurike kukata moto nk.
Jukwaani lazima aende maana mi sina hela za kumaintain lifestyle yake, ukifika muda wa kazi hata viboko atachapwa tu vya kutosha uzuri boyfriend na mm nna element za u prodyuza so ntahakikisha ni hit baada ya hit ili isije ikasemekana mi ndo nimemfubaisha… wabongo hamna dogo nyie!!!

Mwaka huu Lazima yatokee yale ya Jenipher lopez kwenye movie ya Marry me… mtag apite kwenye uzi hapa, pm yangu iko wazi
 
Nzuri sana mkuu.

Ukifanikiwa nami naomba unipe mbinu nimpate Mimi Mars
 
Diamond anakaa mlangoni tu, ndani haingii nje hatoki. Aache kuzuia mlango na awapishe wenzie kama miaka 2 itaisha.
Na maneno kama haya niliwahi kuyasema miaka ya nyuma kuhusu Jux na watu waliweka laugh emojis wakichukulia joke. Sasa hivi Vannesa yuko wapi?
 
HIzo kiki zao zimebuma waendelee na ujinga wao haituhusu sisi tupo busy kufuatilia mambo muhimu ya nchi yetu
 
Hii ni kiki ya kuharibu kiki ya Hermonize na Abigail Chams
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…