The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Nimejitahidi kuuelewa huu uzi ila nimetoka kapa! Bila shaka nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maokoto bro maokotoHaka katoto kanatangaza mala kibao kuachana siku mbili tatu hakoo tenaaa
😅😅😅 Kila akitoka anakumbuka miamala anarudi mwenyewe.. ana post na videoMaokoto bro maokoto
Pepo la nyege tu linakusumbua 🤣🤣🤣🤣Zuchu ni Mwanamke mzuri sana, yaan mi nakapenda kalivyo kadogo kadogo kama katoto yaan ni zile sampuli unakua unabeba unapeleka bafuni unakaosha then kana vaa nguo nyepesi unaweka mapajani unalisha na kukanywesha maziwa ama juisi etc then kakishiba unakafuta mdomo unakaweka kifuani unakabembeleza kalale na hivi kana nywele fupi ni kumassage kichwa, mgongo mwanzo mwisho mpaka kasinzie.. yaan iyo inakua daily dose mpaka ukiwa unaenda kwenye kazi zetu za kunuka nguvu kawe kanakulilia..
Dada Mideko mamboKiki kama kawaida Yao show ya valentine inakuja wapige hela kama kawaida...
Jukwaani lazima aende maana mi sina hela za kumaintain lifestyle yake, ukifika muda wa kazi hata viboko atachapwa tu vya kutosha uzuri boyfriend na mm nna element za u prodyuza so ntahakikisha ni hit baada ya hit ili isije ikasemekana mi ndo nimemfubaisha… wabongo hamna dogo nyie!!!😁😀Sasa mkuu katapata muda wa kupanda majukwaani kwa style hiyo?
Mademu siku hizi hawapendi mahaba niue, wanataka nginja nginja wateseke, wajute, wanywe sumu wanusurike kukata moto nk.
Nzuri sana mkuu.Jukwaani lazima aende maana mi sina hela za kumaintain lifestyle yake, ukifika muda wa kazi hata viboko atachapwa tu vya kutosha uzuri boyfriend na mm nna element za u prodyuza so ntahakikisha ni hit baada ya hit ili isije ikasemekana mi ndo nimemfubaisha… wabongo hamna dogo nyie!!!
Mwaka huu Lazima yatokee yale ya Jenipher lopez kwenye movie ya Marry me… mtag apite kwenye uzi hapa, pm yangu iko wazi
Kheri tup
Niambie unashinda jukwaa gani huwa nakutafuta sikupati dada mzuri 😋😋😋Kheri tupu
😂😂Yeye mwenyewe keshakubali kutumika kutwa kupapaswa hadharani. Hawezi kushinda maana ndo style iliyotumika kumbrand
Mfuate instaMkuu kama unaijua ID yake mtag bas aje aone …. Nampenda Sana Zuhura Othman Kopa
HIzo kiki zao zimebuma waendelee na ujinga wao haituhusu sisi tupo busy kufuatilia mambo muhimu ya nchi yetuMsanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham.
View attachment 3203758
Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa kampuni hiyo katika kazi zake. Pia alidai familia ya Diamond inachangia kumharibia heshima.
Soma: Zuchu atangaza kuachana tena na Diamond. Ni kiki ya wimbo mpya au ndo uvumilivu umemshinda?
View attachment 3203767
"Kinachoendelea sasa mitandaoni kupitia maudhui ya kipindi chenu Mashamsham kimekuwa kama sehemu ya kuniumiza na kunididimiza kisanaa na kiafya ya mwili na akili. Lakini nasema nashukuru na nimeyapokea yote."
"Nimekuwa msanii wa taasisi mwenye kasi na mwenye kuipambania kazi yangu licha ya uwekezaji unaofanywa na kampuni yenu. Sikatai, ni jambo kubwa na la kheri kumkomboa binti mwenye kipaji kwa kumwekezea. Lakini nauliza, je, ni haki uwekezaji huo kutumika kama silaha pia? Au niliwakosea nini mpaka kufikia kunifanyia bullying na harassment hizi?"
View attachment 3203769
"Nasibu (Diamond Platnumz), familia yako wana baya langu lipi ambalo wanaona ni haki wao hata wakiwa na mahojiano binafsi kutokuweka stara ya mambo yangu, huku wakihakikisha hawakuharibii wewe bali mimi."
"Nimefikia hatua leo naandika barua ya kisheria kwa walezi wangu kutokana na ukandamizaji wa mara kwa mara juu yangu. Inauma sana. Nitaenda mahakamani, na pengine sitaweza kushinda taasisi yenu yenye nguvu, lakini hata nikishindwa huko namwachia Mwenyezi Mungu, yeye ndiye hakimu wa mwisho."
"ASANTENI NASHUKURU kwa kuendelea kunibully na kuniharrass.
"Nimeomba sana kwako kama kiongozi, lakini mara nyingi maombi yangu hugonga mwamba na kunatengenezwa maudhui yenye kusudio la kunivunjia heshima, kuniumiza, na kuharibu afya yangu ya kiakili. Mimi ni binti na mwanamuziki, lakini sijawahi kuona media yoyote inaniharass kama ambavyo media ya taasisi yenu imekuwa ikifanya."
"Sina cha kuwafanya kikubwa. Nyinyi ni wenye nguvu, na mimi namshitakia Mwenye Ukuu na Utukufu zaidi yangu. Ninaamini zaidi kwa Mungu. ASANTENI SANA NASHUKURU."
View attachment 3203757
View attachment 3203960View attachment 3203961View attachment 3203962
View attachment 3203963
Pia, Soma: Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki