Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM

Sidhani kama ni ngoma mpya kwani hivi karibuni ametoa albamu yenye ngoma 13 so ngoma zipo tu.

Huyu anahitaji kusikilizwa [emoji2962] asingetoa tuhuma hizo mpaka kwa familia yake Diamond
Nani amsikilize? Achana na hao wanaogongwa na kuoita na Chibu, hao aliozaa nao wapo wapi? Yeye hayajui hayo? Waswahili wanamsemo wao 'kiboko kilichompiga ke mwenzio na wewe kitakupiga' asikizwe na nani? Nani ambaye hakujua yatamtokea haya? Na bado hata Kama ni kiki ila yanakuja, anapoteza muda wake bure
 
Hii ya kusema kuwa unatumika sijawahi kuielewa wakati hawa wadada wajipeleka kwake kutafuta came hawalazimishi
 
Kuna uwezekano kuwa Zuchu hana akili timamu, inawezekanaje mtu unaonyeshwa kila dalili kuwa hutakiwi lakini bado unang'ang'ania tu penzi na kujitapa kuwa umefika? Domo anamchezea tu Zuchu na bahati mbaya Zuchu hajialiona hili mpaka sasa. Nashauri akamatwe na kuchunguzwa akili kama zimetimia.
 
Subirini mazwazwa mletewe onesho lao la pamoja muende

Ova
 
Diamond anamchezea Zuchu au wanachezeana? kwani kwenye relationship yao Zuchu hafaidiki na fame anayopewa au pesa?
 
Diamond anamchezea Zuchu au wanachezeana? kwani kwenye relationship yao Zuchu hafaidiki na fame anayopewa au pesa?
Ukisoma comments za Zuchu utagundua kabisa anaumia, ni kama vile mtu anayetaka ndoa au atambulishwe rasmi ili wau wamjue kawa ni mtu wa mtu. Kiufupi, hawaendani hata kidogo na nafikiri hata Diamond anajuwa hili au watu wake wa karibu (familia and friends) walishamwambia hii kitu na Zuchu inamuuma.
 
Mimi wanawake wananishangaza kitu kimoja na hichi hata na sisi wanaume tumeingia kwenye mfumo wao Ni kuhusu hii kauli "kwanini wanawake wanapoachwa na wanaume wanadai wamechezewa au wametumika au wametumiwa na sisi baadhi yetu wanaume tunawasapoti" hivi Ni kweli? Unataka kuniambia kipindi chote walipokuwa kwenye mahusiano walikuwa hawafaidi? Pesa walikuwa hawapati? Matatizo yao yalikuwa hayatatuliwi? Muda walikuwa hawapewi? Kwanini anapoachwa iwe alitumika? Kwanini isiwe tulitumiana? Huu ubinafsi wa wanawake ulivyo
 
Mbona aazunguka sana? Si angeenda moja kwa moja kwenye kutangaza ni lini anatoa wimbo mpya?
 
Uko sahihi, ila Zuchu anahitaji maombi ya uhakika......anang'ang'ania kupendwa wakati ndugu hwamtaki, kutaka mahusiano na mwanamuziki si wa kiume tu hata wa kike ni shida na ujinga wa kujitakia. Hivi kwanini serikali isimkamate na kumpeleka Milembe kupimwa afya ya akili?
 
Naunga mkono hoja ya jamaa aliyeshauri Zuchu akamatwe na serikali na kupelekwa Milembe, kwa kweli mtoto anasikitisha huyu. Hivi aambiweje ili aelewe, Diamond anampiga miti pale anapojisikia na nduguze Diamond hawamtaki, yeye anang'ang'ania nini jamani? Hivi we da Khadija huoni jinsi mwanao anavyojidhalilisha jamani? Mkamate na umpeleke hospitali akapimwe akili.
 
Diamond sijui kama atakuja aoe, maana familia yake ni kama hawataki awe na ndoa.
Kila mwanamke wa diamond ni mbaya tu jamani?
Wale wanapenda ndugu yao asiishi maisha ya kindoa maana hawatakuwa na uhuru nae.
Una hoja, usikilizwee.
 
Kheeeeh haya mabwakuuu. Lol
 
Vanessa usimfananishe na Zuchu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…