Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Aisee Zuchu ndo Basi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha basi.Mix by Yas
Nani amsikilize? Achana na hao wanaogongwa na kuoita na Chibu, hao aliozaa nao wapo wapi? Yeye hayajui hayo? Waswahili wanamsemo wao 'kiboko kilichompiga ke mwenzio na wewe kitakupiga' asikizwe na nani? Nani ambaye hakujua yatamtokea haya? Na bado hata Kama ni kiki ila yanakuja, anapoteza muda wake bureSidhani kama ni ngoma mpya kwani hivi karibuni ametoa albamu yenye ngoma 13 so ngoma zipo tu.
Huyu anahitaji kusikilizwa [emoji2962] asingetoa tuhuma hizo mpaka kwa familia yake Diamond
Hii ya kusema kuwa unatumika sijawahi kuielewa wakati hawa wadada wajipeleka kwake kutafuta came hawalazimishiThere's a lot of shit going on behind the scenes.
Ndo maana vannesa alijitoa, zuchu bado hajakua kifikra, angelitambua mapema kua hana Chake na anatumika asinge anzisha mahusiano na boss wake. She's gonna be miserable sana na bado damu mbichi mtoto wa watu
Shwariiii kabisaTayana-wog dada mambo 😋😋😋
Safi dada naomba tamu 😋😋😋Shwariiii kabisa
Za ww
Kuna uwezekano kuwa Zuchu hana akili timamu, inawezekanaje mtu unaonyeshwa kila dalili kuwa hutakiwi lakini bado unang'ang'ania tu penzi na kujitapa kuwa umefika? Domo anamchezea tu Zuchu na bahati mbaya Zuchu hajialiona hili mpaka sasa. Nashauri akamatwe na kuchunguzwa akili kama zimetimia.Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham.
View attachment 3203758
Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa kampuni hiyo katika kazi zake. Pia alidai familia ya Diamond inachangia kumharibia heshima.
Soma: Zuchu atangaza kuachana tena na Diamond. Ni kiki ya wimbo mpya au ndo uvumilivu umemshinda?
View attachment 3203767
"Kinachoendelea sasa mitandaoni kupitia maudhui ya kipindi chenu Mashamsham kimekuwa kama sehemu ya kuniumiza na kunididimiza kisanaa na kiafya ya mwili na akili. Lakini nasema nashukuru na nimeyapokea yote."
"Nimekuwa msanii wa taasisi mwenye kasi na mwenye kuipambania kazi yangu licha ya uwekezaji unaofanywa na kampuni yenu. Sikatai, ni jambo kubwa na la kheri kumkomboa binti mwenye kipaji kwa kumwekezea. Lakini nauliza, je, ni haki uwekezaji huo kutumika kama silaha pia? Au niliwakosea nini mpaka kufikia kunifanyia bullying na harassment hizi?"
View attachment 3203769
"Nasibu (Diamond Platnumz), familia yako wana baya langu lipi ambalo wanaona ni haki wao hata wakiwa na mahojiano binafsi kutokuweka stara ya mambo yangu, huku wakihakikisha hawakuharibii wewe bali mimi."
"Nimefikia hatua leo naandika barua ya kisheria kwa walezi wangu kutokana na ukandamizaji wa mara kwa mara juu yangu. Inauma sana. Nitaenda mahakamani, na pengine sitaweza kushinda taasisi yenu yenye nguvu, lakini hata nikishindwa huko namwachia Mwenyezi Mungu, yeye ndiye hakimu wa mwisho."
"ASANTENI NASHUKURU kwa kuendelea kunibully na kuniharrass.
"Nimeomba sana kwako kama kiongozi, lakini mara nyingi maombi yangu hugonga mwamba na kunatengenezwa maudhui yenye kusudio la kunivunjia heshima, kuniumiza, na kuharibu afya yangu ya kiakili. Mimi ni binti na mwanamuziki, lakini sijawahi kuona media yoyote inaniharass kama ambavyo media ya taasisi yenu imekuwa ikifanya."
"Sina cha kuwafanya kikubwa. Nyinyi ni wenye nguvu, na mimi namshitakia Mwenye Ukuu na Utukufu zaidi yangu. Ninaamini zaidi kwa Mungu. ASANTENI SANA NASHUKURU."
View attachment 3203757
View attachment 3203960View attachment 3203961View attachment 3203962
View attachment 3203963
Pia, Soma: Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki
Diamond anamchezea Zuchu au wanachezeana? kwani kwenye relationship yao Zuchu hafaidiki na fame anayopewa au pesa?Kuna uwezekano kuwa Zuchu hana akili timamu, inawezekanaje mtu unaonyeshwa kila dalili kuwa hutakiwi lakini bado unang'ang'ania tu penzi na kujitapa kuwa umefika? Domo anamchezea tu Zuchu na bahati mbaya Zuchu hajialiona hili mpaka sasa. Nashauri akamatwe na kuchunguzwa akili kama zimetimia.
Ukisoma comments za Zuchu utagundua kabisa anaumia, ni kama vile mtu anayetaka ndoa au atambulishwe rasmi ili wau wamjue kawa ni mtu wa mtu. Kiufupi, hawaendani hata kidogo na nafikiri hata Diamond anajuwa hili au watu wake wa karibu (familia and friends) walishamwambia hii kitu na Zuchu inamuuma.Diamond anamchezea Zuchu au wanachezeana? kwani kwenye relationship yao Zuchu hafaidiki na fame anayopewa au pesa?
Mimi wanawake wananishangaza kitu kimoja na hichi hata na sisi wanaume tumeingia kwenye mfumo wao Ni kuhusu hii kauli "kwanini wanawake wanapoachwa na wanaume wanadai wamechezewa au wametumika au wametumiwa na sisi baadhi yetu wanaume tunawasapoti" hivi Ni kweli? Unataka kuniambia kipindi chote walipokuwa kwenye mahusiano walikuwa hawafaidi? Pesa walikuwa hawapati? Matatizo yao yalikuwa hayatatuliwi? Muda walikuwa hawapewi? Kwanini anapoachwa iwe alitumika? Kwanini isiwe tulitumiana? Huu ubinafsi wa wanawake ulivyoUkisoma comments za Zuchu utagundua kabisa anaumia, ni kama vile mtu anayetaka ndoa au atambulishwe rasmi ili wau wamjue kawa ni mtu wa mtu. Kiufupi, hawaendani hata kidogo na nafikiri hata Diamond anajuwa hili au watu wake wa karibu (familia and friends) walishamwambia hii kitu na Zuchu inamuuma.
Mbona aazunguka sana? Si angeenda moja kwa moja kwenye kutangaza ni lini anatoa wimbo mpya?Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham.
View attachment 3203758
Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa kampuni hiyo katika kazi zake. Pia alidai familia ya Diamond inachangia kumharibia heshima.
Soma: Zuchu atangaza kuachana tena na Diamond. Ni kiki ya wimbo mpya au ndo uvumilivu umemshinda?
View attachment 3203767
"Kinachoendelea sasa mitandaoni kupitia maudhui ya kipindi chenu Mashamsham kimekuwa kama sehemu ya kuniumiza na kunididimiza kisanaa na kiafya ya mwili na akili. Lakini nasema nashukuru na nimeyapokea yote."
"Nimekuwa msanii wa taasisi mwenye kasi na mwenye kuipambania kazi yangu licha ya uwekezaji unaofanywa na kampuni yenu. Sikatai, ni jambo kubwa na la kheri kumkomboa binti mwenye kipaji kwa kumwekezea. Lakini nauliza, je, ni haki uwekezaji huo kutumika kama silaha pia? Au niliwakosea nini mpaka kufikia kunifanyia bullying na harassment hizi?"
View attachment 3203769
"Nasibu (Diamond Platnumz), familia yako wana baya langu lipi ambalo wanaona ni haki wao hata wakiwa na mahojiano binafsi kutokuweka stara ya mambo yangu, huku wakihakikisha hawakuharibii wewe bali mimi."
"Nimefikia hatua leo naandika barua ya kisheria kwa walezi wangu kutokana na ukandamizaji wa mara kwa mara juu yangu. Inauma sana. Nitaenda mahakamani, na pengine sitaweza kushinda taasisi yenu yenye nguvu, lakini hata nikishindwa huko namwachia Mwenyezi Mungu, yeye ndiye hakimu wa mwisho."
"ASANTENI NASHUKURU kwa kuendelea kunibully na kuniharrass.
"Nimeomba sana kwako kama kiongozi, lakini mara nyingi maombi yangu hugonga mwamba na kunatengenezwa maudhui yenye kusudio la kunivunjia heshima, kuniumiza, na kuharibu afya yangu ya kiakili. Mimi ni binti na mwanamuziki, lakini sijawahi kuona media yoyote inaniharass kama ambavyo media ya taasisi yenu imekuwa ikifanya."
"Sina cha kuwafanya kikubwa. Nyinyi ni wenye nguvu, na mimi namshitakia Mwenye Ukuu na Utukufu zaidi yangu. Ninaamini zaidi kwa Mungu. ASANTENI SANA NASHUKURU."
View attachment 3203757
View attachment 3203960View attachment 3203961View attachment 3203962
View attachment 3203963
Pia, Soma: Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki
Uko sahihi, ila Zuchu anahitaji maombi ya uhakika......anang'ang'ania kupendwa wakati ndugu hwamtaki, kutaka mahusiano na mwanamuziki si wa kiume tu hata wa kike ni shida na ujinga wa kujitakia. Hivi kwanini serikali isimkamate na kumpeleka Milembe kupimwa afya ya akili?Mimi wanawake wananishangaza kitu kimoja na hichi hata na sisi wanaume tumeingia kwenye mfumo wao Ni kuhusu hii kauli "kwanini wanawake wanapoachwa na wanaume wanadai wamechezewa au wametumika au wametumiwa na sisi baadhi yetu wanaume tunawasapoti" hivi Ni kweli? Unataka kuniambia kipindi chote walipokuwa kwenye mahusiano walikuwa hawafaidi? Pesa walikuwa hawapati? Matatizo yao yalikuwa hayatatuliwi? Muda walikuwa hawapewi? Kwanini anapoachwa iwe alitumika? Kwanini isiwe tulitumiana? Huu ubinafsi wa wanawake ulivyo
Naunga mkono hoja ya jamaa aliyeshauri Zuchu akamatwe na serikali na kupelekwa Milembe, kwa kweli mtoto anasikitisha huyu. Hivi aambiweje ili aelewe, Diamond anampiga miti pale anapojisikia na nduguze Diamond hawamtaki, yeye anang'ang'ania nini jamani? Hivi we da Khadija huoni jinsi mwanao anavyojidhalilisha jamani? Mkamate na umpeleke hospitali akapimwe akili.Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham.
View attachment 3203758
Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa kampuni hiyo katika kazi zake. Pia alidai familia ya Diamond inachangia kumharibia heshima.
Soma: Zuchu atangaza kuachana tena na Diamond. Ni kiki ya wimbo mpya au ndo uvumilivu umemshinda?
View attachment 3203767
"Kinachoendelea sasa mitandaoni kupitia maudhui ya kipindi chenu Mashamsham kimekuwa kama sehemu ya kuniumiza na kunididimiza kisanaa na kiafya ya mwili na akili. Lakini nasema nashukuru na nimeyapokea yote."
"Nimekuwa msanii wa taasisi mwenye kasi na mwenye kuipambania kazi yangu licha ya uwekezaji unaofanywa na kampuni yenu. Sikatai, ni jambo kubwa na la kheri kumkomboa binti mwenye kipaji kwa kumwekezea. Lakini nauliza, je, ni haki uwekezaji huo kutumika kama silaha pia? Au niliwakosea nini mpaka kufikia kunifanyia bullying na harassment hizi?"
View attachment 3203769
"Nasibu (Diamond Platnumz), familia yako wana baya langu lipi ambalo wanaona ni haki wao hata wakiwa na mahojiano binafsi kutokuweka stara ya mambo yangu, huku wakihakikisha hawakuharibii wewe bali mimi."
"Nimefikia hatua leo naandika barua ya kisheria kwa walezi wangu kutokana na ukandamizaji wa mara kwa mara juu yangu. Inauma sana. Nitaenda mahakamani, na pengine sitaweza kushinda taasisi yenu yenye nguvu, lakini hata nikishindwa huko namwachia Mwenyezi Mungu, yeye ndiye hakimu wa mwisho."
"ASANTENI NASHUKURU kwa kuendelea kunibully na kuniharrass.
"Nimeomba sana kwako kama kiongozi, lakini mara nyingi maombi yangu hugonga mwamba na kunatengenezwa maudhui yenye kusudio la kunivunjia heshima, kuniumiza, na kuharibu afya yangu ya kiakili. Mimi ni binti na mwanamuziki, lakini sijawahi kuona media yoyote inaniharass kama ambavyo media ya taasisi yenu imekuwa ikifanya."
"Sina cha kuwafanya kikubwa. Nyinyi ni wenye nguvu, na mimi namshitakia Mwenye Ukuu na Utukufu zaidi yangu. Ninaamini zaidi kwa Mungu. ASANTENI SANA NASHUKURU."
View attachment 3203757
View attachment 3203960View attachment 3203961View attachment 3203962
View attachment 3203963
Pia, Soma: Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki
Lakini Zama si aliolewa na fundi garage wake ama?Maneno haya sio mageni mjin labda Kwa wageni ila Kwa wenyej tulishayazoea!
Ruge(r.i.p) Vs zamarad cloudsfm
Una hoja, usikilizwee.Diamond sijui kama atakuja aoe, maana familia yake ni kama hawataki awe na ndoa.
Kila mwanamke wa diamond ni mbaya tu jamani?
Wale wanapenda ndugu yao asiishi maisha ya kindoa maana hawatakuwa na uhuru nae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamevurugwaa!![emoji16]Kuna jamaa yangu mmoja anampenda sana Zuchu, ukimkuta anagombana na mkewe kuhusu hilo utacheka uzime
Kheeeeh haya mabwakuuu. LolZuchu ni Mwanamke mzuri sana, yaan mi nakapenda kalivyo kadogo kadogo kama katoto yaan ni zile sampuli unakua unabeba unapeleka bafuni unakaosha then kana vaa nguo nyepesi unaweka mapajani unalisha na kukanywesha maziwa ama juisi etc then kakishiba unakafuta mdomo unakaweka kifuani unakabembeleza kalale na hivi kana nywele fupi ni kumassage kichwa, mgongo mwanzo mwisho mpaka kasinzie.. yaan iyo inakua daily dose mpaka ukiwa unaenda kwenye kazi zetu za kunuka nguvu kawe kanakulilia..
Vanessa usimfananishe na Zuchu.Diamond anakaa mlangoni tu, ndani haingii nje hatoki. Aache kuzuia mlango na awapishe wenzie kama miaka 2 itaisha.
Na maneno kama haya niliwahi kuyasema miaka ya nyuma kuhusu Jux na watu waliweka laugh emojis wakichukulia joke. Sasa hivi Vannesa yuko wapi?
Vanessa usimfananishe na Zuchu.