Zuchu atangaza kuachana na Diamond Platinumz

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Zuchu adai heshima imekosekana kwenye mahusiano yake na Diamond Platinumz, atangaza kuachana nae rasmi. Hii inakuja wiki kadhaa baada ya Diamond pia kutangaza kuwa yupo single na baadae kurudisha uhusiano wao.

"Hello fan-milly i had to post this to clear my conscience. kuanzia leo hii mimi na Nasibu (diamond) hatuko pamoja. i know this has been our thing but as hard as it is kumuacha mtu unaempenda hii naomba mungu iwe ya mwisho na nianze maisha mapya".

Zuchu ameongeza kuwa; "Mapenzi ni heshima kwa bahati mbaya sana hiko kimekosekana kwetu. as for him bado tuna kazi za pamoja i wish him and his family the absolute best".

 
Tafuta hela ujadiliwe na watu sio kazi fufuatilia kutomberner
 
Simba dangote hawakuni vizuri nini? Na wanaogopa kusema hilo waziwazi? Na kwamba wataulizwa mbona walikuwa wameng'ang'ania au wanaogopa kwamba wataonekana gold diggers? Ama anawaomba "Mitaro?"
 
Si atakuwa anaendelea kula akitaka kama mtangulizi wako?
 
Bahati mbaya hili limetokea kipindi cha kuandaa mashamba,...ingekua ndio wakati wa mavuno alaaah kwani hadaway kitu gani,ningemfariji zuhura
 
Imebidi nikahakiki hili kupitia ukurasa wake rasmi, (Zuchu)

Binafsi nampongeza sana, amekuwa mwanamke sasa na ameitambua thamani yake. Uking’ang’anizi kwa mwanaume asiyekupa heshima sio sifa, ni kujiumiza mwenyewe.

Kila la kheri Zuchu, upate furaha, uhuru na amani katika maisha yako mapya.

My take: Mnakumbuka juzi wakati nasema vigezo vyangu kwa mwanaume kigezo kikuu niliweka heshima? Nafikiri mnaona sasa kwamba pesa sio kila kitu. Joannah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…