Zuchu atangaza kuachana na Diamond Platinumz

Zuchu anatafuta attention tu kwa mashabiki kwa ajili ya kuachia video ya wimbo wake mpya wa zawadi,,, hana ubavu wa kumuacha Simba kirahisi kama mnavyozani.
True that...
 
I just glanced through her post…let me be the last person to believe this kiki……
 
View attachment 2913617Imebidi nikahakiki hili kupitia ukurasa wake rasmi, (Zuchu)

Binafsi nampongeza sana, amekuwa mwanamke sasa na ameitambua thamani yake. Uking’ang’anizi kwa mwanaume asiyekupa heshima sio sifa, ni kujiumiza mwenyewe.

Kila la kheri Zuchu, upate furaha, uhuru na amani katika maisha yako mapya.

My take: Mnakumbuka juzi wakati nasema vigezo vyangu kwa mwanaume kigezo kikuu niliweka heshima? Nafikiri mnaona sasa kwamba pesa sio kila kitu. Joannah
Ohoo tatizo ni domo kuwa karibu na Zari majuzi Zuhura kaona aheshimiwi
 
Havielrwekiiii kwani walikuwa wapenzi ? Walituambia? Kila la heri umejifunza lya kujifunza....upande wa pili ni asset...ksetu sisi...wale Cuba wanaelewa hii umemaliza kazi kwa heshima....
 
View attachment 2913617Imebidi nikahakiki hili kupitia ukurasa wake rasmi, (Zuchu)

Binafsi nampongeza sana, amekuwa mwanamke sasa na ameitambua thamani yake. Uking’ang’anizi kwa mwanaume asiyekupa heshima sio sifa, ni kujiumiza mwenyewe.

Kila la kheri Zuchu, upate furaha, uhuru na amani katika maisha yako mapya.

My take: Mnakumbuka juzi wakati nasema vigezo vyangu kwa mwanaume kigezo kikuu niliweka heshima? Nafikiri mnaona sasa kwamba pesa sio kila kitu. Joannah
Heshima inatengenezwa na wewe mwanamke,ukiruhusu upuuzi mwanzoni mwa mahusiano hayo ndio matokeo,,,,Mtu anaweza kuwa na heshima ila Kila siku Hana mia na mwisho wa siku utamvunjia tu heshima maana utamchoka,ni vyema mwanaume awe na economic freedom amini usiamini Niffer
 
Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho liwe Kwa kheri au Shari.
 
Hakukuwahi kuwa na mahusiano ya,kimapenz baina ya hao watu wawili ni muendelezo wa kiki tu kama kawaida
 
Mnachezewa kwwli akili nyie
Vp hawajafanya tamasha kweli
Na kuwekewa viingilio
[emoji1]

Ova
 
Heshima inatengenezwa na wewe mwanamke,ukiruhusu upuuzi mwanzoni mwa mahusiano hayo ndio matokeo,,,,Mtu anaweza kuwa na heshima ila Kila siku Hana mia na mwisho wa siku utamvunjia tu heshima maana utamchoka,ni vyema mwanaume awe na economic freedom amini usiamini Niffer
Nakaziaa hapa.
 
Certified golddiggers
 
Back
Top Bottom