Zuchu atangaza kuachana na Diamond Platinumz

Zuchu atangaza kuachana na Diamond Platinumz

Kumbe walikuwa kwenye mahusiano?
Nakumbuka juzi juzi hapa kuna watu walitukanwa kwa ajili ya drama za Hawa jamaa...
Natumaini hata siku zijazo kuna kujirudia tena kwa masimango kwa watakaoshabikia....
 
Zuchu adai heshima imekosekana kwenye mahusiano yake na Diamond Platinumz, atangaza kuachana nae rasmi. Hii inakuja wiki kadhaa baada ya Diamond pia kutangaza kuwa yupo single na baadae kurudisha uhusiano wao.

"Hello fan-milly i had to post this to clear my conscience. kuanzia leo hii mimi na Nasibu (diamond) hatuko pamoja. i know this has been our thing but as hard as it is kumuacha mtu unaempenda hii naomba mungu iwe ya mwisho na nianze maisha mapya".

Zuchu ameongeza kuwa; "Mapenzi ni heshima kwa bahati mbaya sana hiko kimekosekana kwetu. as for him bado tuna kazi za pamoja i wish him and his family the absolute best".

View attachment 2913611
Zuchu ameongeza kuwa; "Mapenzi ni heshima kwa bahati mbaya sana hiko kimekosekana kwetu. as for him bado tuna kazi za pamoja i wish him and his family the absolute best[emoji173]
 
Zuchu adai heshima imekosekana kwenye mahusiano yake na Diamond Platinumz, atangaza kuachana nae rasmi. Hii inakuja wiki kadhaa baada ya Diamond pia kutangaza kuwa yupo single na baadae kurudisha uhusiano wao.

"Hello fan-milly i had to post this to clear my conscience. kuanzia leo hii mimi na Nasibu (diamond) hatuko pamoja. i know this has been our thing but as hard as it is kumuacha mtu unaempenda hii naomba mungu iwe ya mwisho na nianze maisha mapya".

Zuchu ameongeza kuwa; "Mapenzi ni heshima kwa bahati mbaya sana hiko kimekosekana kwetu. as for him bado tuna kazi za pamoja i wish him and his family the absolute best".

View attachment 2913611
Siku zote
Nitamsapoti Zuchu
Nitamsapoti Mondi
Nitawasapoti Wasanii wa Tanzania.

Privacy lives zao hazitanidistract
 
View attachment 2913617Imebidi nikahakiki hili kupitia ukurasa wake rasmi, (Zuchu)

Binafsi nampongeza sana, amekuwa mwanamke sasa na ameitambua thamani yake. Uking’ang’anizi kwa mwanaume asiyekupa heshima sio sifa, ni kujiumiza mwenyewe.

Kila la kheri Zuchu, upate furaha, uhuru na amani katika maisha yako mapya.

My take: Mnakumbuka juzi wakati nasema vigezo vyangu kwa mwanaume kigezo kikuu niliweka heshima? Nafikiri mnaona sasa kwamba pesa sio kila kitu. Joannah
Unahitaji Mpenzi?
 
Back
Top Bottom